Maisha ya enzi hizo za kwenu Tafauti kabisa na ya enzi hiiHalafu suala moja uelewe kuwa SIO WANAUME WOTE tupo hivyo unavyodhani
Ukijitahidi mwanamke ukasoma/fanya biashara zako bado hela yako nayo inawekewa mipaka na tena inadhaniwa kuweza kuondoa amani kwenye ndoa usiposoma ukamtegema mwanaume akafariki ghafla ukashindwa kusomesha watoto unasemwa ulikuwa goli kipa tu jamani hizi conclusion ni nyepesi sana
Tuna wajibu mkubwa kuliko mahusiano yetu kijinsia. Tuheshimiane tusapotiane na tulee watoto vizuri kuliko tulivyolelewa.
MKUU TUPE USHAURI WAKO SASA.!!1. Ni nani aliwadanganya eti ukioa mwanamke msomi mwenye pesa ndo kufanikiwa kimaisha?
2. Ni nani aliwaambia mkawategemee wanawake wawasaidie kuhimu majukumu ya familia?
3. Ni nani aliwadanganya wanawake wameumbwa kuja kuchukua nafasi zenu?
4. Ni nani aliwaambia mwanaume anahitaji pesa ya mwanamke kuhimu familia yake?
5. Ni nani aliwaambia uanamke ni kusoma na kumiliki Mali?
6. Nani aliwadanganya maisha ni vitu?
Ona sasa yanayowatokea:
1. Maana ya familia imewapita mbali na familia nyingi zimeshikwa na utandu wa buibui. Hazijiwezi
2. Mna nyumba na magari lakini familia zenu hazina amani
3. Familia zinapotea kisa mnaishi mnashindana na kila mmoja anataka mali. Ukienda kusoma masters ukirudi mke naye anataka akasome iwe iwavyo, na ni lazima aende.
4. Mmepoteza kujiamini na mmepoteza heshima yenu ya uanamme mnabaki kutawaliwa kifikra.
5. Wasomi ndo mnaongoza kwa kutokujiamini na kukosa misimamo, mmegeuka mabwege.
6. Mnafikiri familia bora ni mali kumbe ni amani, hekima na utulivu wa kifikra
Ni ujinga wa kiwango cha rami1. Ni nani aliwadanganya eti ukioa mwanamke msomi mwenye pesa ndo kufanikiwa kimaisha?
2. Ni nani aliwaambia mkawategemee wanawake wawasaidie kuhimu majukumu ya familia?
3. Ni nani aliwadanganya wanawake wameumbwa kuja kuchukua nafasi zenu?
4. Ni nani aliwaambia mwanaume anahitaji pesa ya mwanamke kuhimu familia yake?
5. Ni nani aliwaambia uanamke ni kusoma na kumiliki Mali?
6. Nani aliwadanganya maisha ni vitu?
Ona sasa yanayowatokea:
1. Maana ya familia imewapita mbali na familia nyingi zimeshikwa na utandu wa buibui. Hazijiwezi
2. Mna nyumba na magari lakini familia zenu hazina amani
3. Familia zinapotea kisa mnaishi mnashindana na kila mmoja anataka mali. Ukienda kusoma masters ukirudi mke naye anataka akasome iwe iwavyo, na ni lazima aende.
4. Mmepoteza kujiamini na mmepoteza heshima yenu ya uanamme mnabaki kutawaliwa kifikra.
5. Wasomi ndo mnaongoza kwa kutokujiamini na kukosa misimamo, mmegeuka mabwege.
6. Mnafikiri familia bora ni mali kumbe ni amani, hekima na utulivu wa kifikra
ngoja nikanawe uso kwanza nikirudi nitasoma tena,ila niache ushauri kidogo1. Ni nani aliwadanganya eti ukioa mwanamke msomi mwenye pesa ndo kufanikiwa kimaisha?
2. Ni nani aliwaambia mkawategemee wanawake wawasaidie kuhimu majukumu ya familia?
3. Ni nani aliwadanganya wanawake wameumbwa kuja kuchukua nafasi zenu?
4. Ni nani aliwaambia mwanaume anahitaji pesa ya mwanamke kuhimu familia yake?
5. Ni nani aliwaambia uanamke ni kusoma na kumiliki Mali?
6. Nani aliwadanganya maisha ni vitu?
Ona sasa yanayowatokea:
1. Maana ya familia imewapita mbali na familia nyingi zimeshikwa na utandu wa buibui. Hazijiwezi
2. Mna nyumba na magari lakini familia zenu hazina amani
3. Familia zinapotea kisa mnaishi mnashindana na kila mmoja anataka mali. Ukienda kusoma masters ukirudi mke naye anataka akasome iwe iwavyo, na ni lazima aende.
4. Mmepoteza kujiamini na mmepoteza heshima yenu ya uanamme mnabaki kutawaliwa kifikra.
5. Wasomi ndo mnaongoza kwa kutokujiamini na kukosa misimamo, mmegeuka mabwege.
6. Mnafikiri familia bora ni mali kumbe ni amani, hekima na utulivu wa kifikra
Mtoa mada umeangalia upande mmoja tu,na kama haya yamekukuta pole sana.Mimi nadhani elimu na mali(mafanikio)ktk familia hayana shida kabisa.Nadhani kosa liko hapa:Nyniyi wanandoa au wanafamilia background yenu ya malezi yako je?Hapa nalenga malezi ya kiimani,kiutamaduni n,k.kama msingi wa wanandoa/wanafamilia yoyote ktk hayo niliyoyataja ni bovu,usitegemee hiyo familia kuwa na amani,upendo,heshima hata kama mnakula nyasi!Hakuna din wala jamiii inayopinga elimu wala mafanikio,labda ya kishetani.Sisi wakristo maandiko yanatumbia MSHIKE SANA ELIMU WALA USIMWACHE AENDE ZAKE.....!na elimu ya sasa ni ghali sana na kila mzazi anapambana mwanae apate bila kuchagua jinsia!Muhimu sana turudini kwenye misingi tuliyoicha na NDOA NA FAMILIA ZITAPONA!!!!!!!!!!!!Ndio hali halisi ya yote uliosema hapo juu, hatuna jinsia tuendelee kupiga lapa mpaka mwisho wa pumzi tu...