Beauty Eva
Senior Member
- Jul 22, 2016
- 131
- 374
wanaumeWapenzi wangu, habarini
Msemo huu unazidi kuwa maarufu siku baada ya siku. Mwanzoni sikuutilia maanani sana.
Juzi nilikuwa kijijini kwetu, kijijini kabisaa!! Nikamsikia kijana mmoja anamwambia mwenzake "... Mimi sio mwanaume wa Dar..."
Leo nikiwa katika daladala, yakatokea Majibizano kati ya Kondakta na abiria.
Pamoja na maneno mengi Kondakta aliyoongea, neno hili nililishika ipasavyo "... Mimi siwezi kujibizana na wanaume wa Dar.."
Swali langu, mwanaume wa Dar ni nani? Anatambulikaje?
Ninahisi kama nimeupenda mfano huuEti mti wenye matunda ndio hurushiwa mawe naomba ujibu hili SHETANI IBILISI kila mahali anakemewa na kulaaniwa si msikitini kanisani je na yeye ni mti wa matunda?
Ha ha ha haaaawanawake wa dar utawajua tu
Ni wapenda kitonga mpenz beauty evaWapenzi wangu, habarini