Wanaume wa Dar mnahitaji msaidiwe

jembe afrika

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,604
3,753
tapatalk_1496422301272.jpeg
 
Kabla hujakimbilia nguvu za kiume na nadharia zake nyingi lazima ujiulize kwa nini jamaa kajilaza hivyo wanaume wanakutana na mengi jama mengi sana au niseme mengi kuliko na yanachosha akili akifika nyumbani nako anakutana na pengine kodi ada umeme mkopo na fujo zote so akiwa off mood sio kusema chips labda angekuwa kivulana cha o level hapo sawa
 
Nyie wanaume wa mkoani bure kabisa majembe yanawachosha juzi kati niliibuka bush so katika kuchombeza nikampata wa shamba wakati tunapiga moja mbili akaanza dharau zake wa mjini nguvu hawana

Sikutaka kumjibu ila nilijua lazima auchezee koki kwenye gemu ulimi njee moja tu kadai ohh nimetumia dawa mara sijui kubwa
Mzee nikakaza bampa 2 bampa kilichojiri kasahau hata ela
Usivamie mstu na kisu cha kukunja sio mjini wote ni chips mayai kuna heavy weight
 
Mkuu unamaanisha ulimpa dozi iliyotukuka
 
Si kweli..nimekuja Dar tangu kibao cha Karibu Dar kipo Magomeni mwembe chai..ila bado najiamini na namisiwa kwa kazi.
 
Kabla hujakimbilia nguvu za kiume na nadharia zake nyingi lazima ujiulize kwa nini jamaa kajilaza hivyo wanaume wanakutana na mengi jama mengi sana au niseme mengi kuliko na yanachosha akili akifika nyumbani nako anakutana na pengine kodi ada umeme mkopo na fujo zote so akiwa off mood sio kusema chips labda angekuwa kivulana cha o level hapo sawa
Mimi sio mwanaume wa dar,lakini mkuu umeongea madini tupu!
 
Mapenzi nifuraha Kama huna furaha huwezi kuinjoi hasa ukifikilia maisha yamekua magum sana unadaiwa kodi hujui kesho familiar itakula nini
 
Back
Top Bottom