Ndetimakete
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 402
- 308
Nonu igonu gwango ndikumbwike e ngamboNdeti lidemi.
Uwanganu ni filolema au fiwoloNonu igonu gwango ndikumbwike e ngambo
Huo ugali Wa ngano nn?
Kwa mawazo hayo walahi bby wako ataishia kulamba yale madude yenu na kula chipsVitamin C ina upikaji wake babe...... mlenda wengi wanajaza tumbo, pamoja na matembere.
Wanawake wa dar wangesema awajazoea kula uchafuWanaume wa Dar hapo watatafuta umma na kisu.
Tena mwanaume wa Dar hapo anakwambia hii niliona kwenye picha msure alipokwend home kwao walivyompokea.Wanawake wa dar wangesema awajazoea kula uchafu
Heheheheh wanawake wa dar banaTena mwanaume wa Dar hapo anakwambi hii niliona kwenye picha msure alipokwend home kwao walivyompokea.
Kuna migahawa Dar wanapika hii kitu mkuu, nenda makumbusho pale unaipata fresh.nimekaa Dodoma mjini sijaona sampuli ya maugali hizo, labda vijijini
wameshahama pale, si unamaanisha brake point? au ni wapiKuna migahawa Dar wanapika hii kitu mkuu, ndenda makumbusho pale unaipata fresh.
No upande wa pili wa barabara kijiji cha makumbusho.wameshahama pale, si unamaanisha brake point? au ni wapi
Ugali wa mtama mkuu na kuku chukuchuku au isiyoungwa , baada ya hapo unashushia maziwa mgando au mtindi na ndizi mbivu moja baada ya hapo unapiga pushups 50 unaoga unapumzika ukianza game dem atakubali mwenyeweHuo ugali Wa ngano nn?
break point wamehamia wapi mkuu?wameshahama pale, si unamaanisha brake point? au ni wapi
mnakura sana kesho inakuja!
Hii dozi ya miezi 6, lazima kaheshima karudi kidogo! teh teh
ngoja kesho nipitie pale nione kama kuna ugali wa mhogo na nyama ya swala au nyati (rosti)No upande wa pili wa barabara kijiji cha makumbusho.