Wanaume wa dar hii too much

Wanaume wa dar hii too much

Mkonga100

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
660
Reaction score
495
3447bdcb328404052b80a62f23c5250a.jpg
61cc33a4ea273daa8ca0a72edd264c23.jpg
 
Ni kweli kabisa wanaume wa Dar si tu wanakamuliwa juisi, bali hata wakitaka kwenda Morogoro wanapanda basi au gari binafsi, pia hata wakianzisha miradi ya kilimo wenye uwezo wanatumia matrekta. Nimeona pia hata gari ikipata pancha wanatumia jeki kuinua gari wakati wa kubadilisha tairi
 
Wanaume wa Dar wanashinda k/koo

Mwananyamala.....mbagala langi tatu na

Kwa mtogole

Mambo ya shamba watayaweza wapi?

Kutwa kubishania Simba na yanga kama kaka yenu MANARA
 
Dalisalama nishiida.....ngoja vipanya load viibuke mitaani

Wanaume na vitambi vyao wameniga tai zao wanatimu mbio kujazana vibanda vya mama lishe kusaka hifadhi

Mama lishe nijasili kupambana na panya road ilikuwalinda wateja wao (wanaume wa Dar)
 
Back
Top Bottom