Wanaume bhana sasa kumpisha mwanamke kwenye siti ndo mwaona mnawahurumia sana wanawake mbona mkitoka shamba mnawabebesha mizigo yote na ukifika home unataka akupikie tena fasta kana kwamba yy hachoki.
Kuna maeneo haikwepeki hiyo sunbae. Imagine mtu anakaa banana anataka kwenda kariakoo halafu ni zile busy hours unadhani itatokea apate gari ambayo haijajaa?
Wanaume bhana sasa kumpisha mwanamke kwenye siti ndo mwaona mnawahurumia sana wanawake mbona mkitoka shamba mnawabebesha mizigo yote na ukifika home unataka akupikie tena fasta kana kwamba yy hachoki.
Kuna maeneo haikwepeki hiyo sunbae. Imagine mtu anakaa banana anataka kwenda kariakoo halafu ni zile busy hours unadhani itatokea apate gari ambayo yaijajaa?
Mada inaanza vizuri inaisha vibaya, Mada imekaa kimbeya(Sio mbaya ni mwanamke).. Kibaya huandiki katika muundo wa ku narrate story yako ivutie!.. Pia andika kwa aya!
Wanaume bhana sasa kumpisha mwanamke kwenye siti ndo mwaona mnawahurumia sana wanawake mbona mkitoka shamba mnawabebesha mizigo yote na ukifika home unataka akupikie tena fasta kana kwamba yy hachoki.
Shida ni kwamba wanawake wa siku hizi hamna shukrani unaweza mfanyia kila kitu na bado akakuona fala tu,zamani kulikuwa hakuna haki sawa lkn atleast wanawake kipindi hicho walikuwa wanajua kuthamini na kutoa shukran pale wanapotendewa wema! Hii ndo sababu wengine wanaamua kuwa makauzu tu!