Umebemendwa weweMtu anakuja humu anaomba ushauri kama amrudie ex wake ama laa. (bwege kweli, yaani sisi tunamjua ex wako kuliko wewe?)
.
Nimesema
Umeona faza.....Unatafuta kiki Kwa pikipiki.
Kutwa dar Tu.Umeona faza.....
Sio kila uzi wa namna hiyo ni wa mwanaume wa Dar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnawaonea wanaume wetu jamani!
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani ni rahisi sana kudanganywaWanaume wa mkoani tabu tupu... Kwenye mapenzi ni fa fa fa fa fa..!!
Mie bado sijaona hizo kasoro zao... Wanaune wa Dar wengi wametoka huko mikoani!!! Anataka kusema Dar ina kirusi kinaharibu wanaume ama? Wengine tumeishi Dar miaka yote na tukienda huko mikoani wanaume wao sijui tunawaona,,, wamezubaaawewe mleta uzi dhahiri ni wa mkoani ,ila dar unataftia kick,
zipo kasoro za wanaume wa Dar ila hilo si moja wapo labda wamkoani
Unakuta kijana anakuja jukwaani anaelezea kuwa amemtongoza binti fulani kisha bae amemkubalia sasa anauliza afanye nini next. (huu ni udhalilishaji dhidi yetu wanaume)
Mtu anakuja humu anaomba ushauri kama amrudie ex wake ama laa. (bwege kweli, yaani sisi tunamjua ex wako kuliko wewe?)
Hebu badilikeni bana. kuna siku mtatuletea story za kudundwa na wake zenu hapa jukwaani.
Jukwaa hili lipewe heshima yake bana. tujadili issues za kujenga mahusiano, ndoa imara na hata kutatua migogoro kwa njia za busara...
Wewe kama hautaki kuoa basi usilalamike ukiona mpenzi wako anamegwa na mpangaji mwenziwe. Sana sana nawashauri vijana mfanye mazoezi maana mlo wenu wa chips yai kisha fanta baridi mtaishia kunywa supu ya pweza na siku hizi wanawaweza wanawawekea viagra humo humo....
Dar es Salaam kuna wanaume wanaojiamini na wenye sifa zote kuitwa wanaume. Mimi nina sifa hizo na mnanikwaza sana nyie wenzangu mnaosukuma damu kwa mioyo ya plastiki.
Nimesema
Nacho maanisha hakuna binadamu anakosa kasoro ,Mie bado sijaona hizo kasoro zao... Wanaune wa Dar wengi wametoka huko mikoani!!! Anataka kusema Dar ina kirusi kinaharibu wanaume ama? Wengine tumeishi Dar miaka yote na tukienda huko mikoani wanaume wao sijui tunawaona,,, wamezubaaa
Inabidi nikutafute tuandae semina kuwabadili minds hawa vijana Wanaume wa dar.Sio kila uzi wa namna hiyo ni wa mwanaume wa Dar
Unatafuta kiki Kwa pikipiki.