WANAUME vs WANAWAKE

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
Wanaume wakikaa pamoja kwenye mabaraza yao na wanawake wakikaa pamoja, je ni watu wa jinsia gani huzungumzia ngono zaidi?
 
Tatiana hebu achana nae huyo wala asikutie shaka, naona leo ana yake
 
  • Thanks
Reactions: nur
Tafuta mume uolewe, leo naona mihemko imekuzidia

Is this necessarry....?, Mkuu usiwe mkali kwa dada yetu..... comment nyingine zinaweza kumuharibia mtu siku.... Chiniese wanaamini.... "Even Butterflies Flap Can Affect Hurricane Season"
wakimaanisha kwamba hasira zako kwa dada zinaweza zikamfanya nae apate hasira kwa mtu mwingine... knock on effect before we know it JF nzina tunajibishana kwa hasira....
 
Kama unataka kusikia ni wanaume pole coz inaweza kua kundi lolote lile kwa kutegemea tabia zao!Kuna wanauwe wanaongea ishu za maendeleo tu na wanawake wanaoshinda wakipeana ishu za vyumbani!
 
  • Thanks
Reactions: nur
Swadakta.
Nimekuelewa mkuu
is this necessarry....?, mkuu usiwe mkali kwa dada yetu..... Comment nyingine zinaweza kumuharibia mtu siku.... Chiniese wanaamini.... "even butterflies flap can affect hurricane season"
wakimaanisha kwamba hasira zako kwa dada zinaweza zikamfanya nae apate hasira kwa mtu mwingine... Knock on effect before we know it jf nzina tunajibishana kwa hasira....
 
wanaume na wanawake wanafanana tabia,huoni humu kuna wanaume wana midomo mirefu wanawake hawaingii:car:
 
Pole mama wala usijisikie mnyonge, wewe ni mtu wa thamani sana katika jamii yetu ya JF. Wala usikasirike sana nikuchukulia mambo kirahisi tu hapa, hii ni sehemu ya kujifunza pia.

Nikirudi kwene topic yako hakuna kipimo cha kuonesha ni watu gani wanoongea sana hizo habari. Kwa sababu habari hizo zinaongelea kutokana pia na aina ya watu na mazingira waliopo wakati huo.

Wanawake tunaweza tukaongea sana hizo habari kutokana na wakati na mazingira na wanaume kadhalika. Kwa mimi binafsi sioni kama kuna kundi linaongelea mambo hayo zaidi ya jingine.

Ila sisi wote tunayaongea, na hata hapa huwa tunaongelea pia, lakini ndo hicho wakati gani na mazingira yapi.
 
Back
Top Bottom