Judithkaunda
Member
- Aug 21, 2022
- 90
- 232
Wanaume kama kweli huo wivu ni upendo onyesheni mapenzi sio vitisho.Kuna baadhi ya wanaume wanatabia ya kutishia kifo kwa wapenzi au hata wake zao.
Unakuta mwanaume anamwambia mpenzi wake ukichepuka ntakuua..
Alafu bahati mbaya asilimia kubwa wanaosema hivyo niwachepukaji wazuri na unakuta ameshafumaniwa zaidi ya mara moja.
Huyo huyo mwanaume afanyi majukumu yake Kama mume au mpenzi.
Mnyanyasaji, hamsaport mke, mkifika nyumbani hakuna story, hakuna huge Wala kiss, anadai kachoka. Mnafanya tu tendo kama wajibu na sio kuburudishana.
Huwezi hata kumsifia mkeo akipendeza unaacha wahuni wamsifie kaka utakuja kupigwa na kitu kizito alafu ufanye huo ukatili sijui hao watoto mnawaacha kwenye mazingira gani.
Wanaume kama kweli huo wivu ni upendo onyesheni mapenzi sio vitisho.
Kama hamfanyi majukumu yenu unategemea huyo mwanamke atulie kwa misingi ipi?
Kesho ntaongelea wanawake, wanaume msimaindi sana.
😂😂Nasema hivi
"KAMA MNATAKA TUSHINDWE KUFANYA MAMBO YETU TUKAE TUKIWAWAZA NYIE TU HIZO DHARAU NA TUTAWAPIGA TUWAUWE KWELI"
Aisee...Kuna baadhi ya wanaume wanatabia ya kutishia kifo kwa wapenzi au hata wake zao.
Unakuta mwanaume anamwambia mpenzi wake ukichepuka ntakuua..
Alafu bahati mbaya asilimia kubwa wanaosema hivyo niwachepukaji wazuri na unakuta ameshafumaniwa zaidi ya mara moja.
Huyo huyo mwanaume afanyi majukumu yake Kama mume au mpenzi.
Mnyanyasaji, hamsaport mke, mkifika nyumbani hakuna story, hakuna huge Wala kiss, anadai kachoka. Mnafanya tu tendo kama wajibu na sio kuburudishana.
Huwezi hata kumsifia mkeo akipendeza unaacha wahuni wamsifie kaka utakuja kupigwa na kitu kizito alafu ufanye huo ukatili sijui hao watoto mnawaacha kwenye mazingira gani.
Wanaume kama kweli huo wivu ni upendo onyesheni mapenzi sio vitisho.
Kama hamfanyi majukumu yenu unategemea huyo mwanamke atulie kwa misingi ipi?
Kesho ntaongelea wanawake, wanaume msimaindi sana.
Mkuu,kuna wanawake wanavichwa vya moto mno,yan anahudumiwa,anapendwa halafu unamchakata vizuri lakn bado anaweka kandege kwenye simu..Wanaume kama kweli huo wivu ni upendo onyesheni mapenzi sio vitisho.
Kama hamfanyi majukumu yenu unategemea huyo mwanamke atulie kwa misingi ipi?
Jiwe gizani
Haiwezi kuwa rahisi hivyo lakn tunapenda kusifiwa na waume zetu zaid ya yeyote.Kwa hiyo wahuni wakikusifia tu unaipeleka kupigwa msasa?
Nyumba ndogo 20 utaweza? Wakati mke mmoja kakushinda kuudumia.Nyinyi wanawake mnataka umalaya wenu iwe kama haki kwa kigezo cha wanaume hawapo romantic
sasa nawaambia mtakuja kufa kweli na visa vipo vingi shenzi nyinyi
ukiolewa tulia na mumeo hata kama ana nyumba ndogo 20
Sijashindwa lakn nahitaj Yale mapenzi ya dhati kama mwanzo, tunakiss tuna huge Sio naishia kuona kwenye tamthilia.Kama huwezi kutulia kwenye ndoa sio lazima uingie kwenye ndoa, simply like that.
Mama unatishwa?Njoo nikupetpetKuna baadhi ya wanaume wanatabia ya kutishia kifo kwa wapenzi au hata wake zao.
Unakuta mwanaume anamwambia mpenzi wake ukichepuka ntakuua..
Halafu bahati mbaya asilimia kubwa wanaosema hivyo ni wachepukaji wazuri na unakuta ameshafumaniwa zaidi ya mara moja.
Huyo huyo mwanaume hafanyi majukumu yake Kama mume au mpenzi.
Mnyanyasaji, hamsaport mke, mkifika nyumbani hakuna story, hakuna huge Wala kiss, anadai kachoka. Mnafanya tu tendo kama wajibu na sio kuburudishana.
Huwezi hata kumsifia mkeo akipendeza unaacha wahuni wamsifie kaka utakuja kupigwa na kitu kizito alafu ufanye huo ukatili sijui hao watoto mnawaacha kwenye mazingira gani.
Wanaume kama kweli huo wivu ni upendo onyesheni mapenzi sio vitisho.
Kama hamfanyi majukumu yenu unategemea huyo mwanamke atulie kwa misingi ipi?
Kesho ntaongelea wanawake, wanaume msimaindi sana.
Shekh wewe si ndio unasema tusiwaonee huruma wanawake auMwanaume anayekutishia kukuua Kwa sababu yoyote Ile anakosa sifa ya kuwa Mume.
Over!
Shekh wewe si ndio unasema tusiwaonee huruma wanawake au