Wanaume: Vijue visa vya michepuko

Michepuko inatumaliza kwakweli nakumbuka mchepuko wangu mmoja ulinipigia simu eti umeacha nguo kwake umekuja kumsalimia mama yake imetokea sherehe anataka elf 70 akanunue gauni...tokea siku hiyo nkakata mawasiliano nae kbs.
 
Umenichekesha sanah bro..
 
mkuu hii inabidi tuanzishe operation kabisa. inaonekana wahanga tupo wengi sana. hahahahahahahahahahaha
 
Haa haa mkuu umetishaaaa
 
mkuu hii inabidi tuanzishe operation kabisa. inaonekana wahanga tupo wengi sana. hahahahahahahahahahaha
Mkuu Complex hili ni janga kubwa sana nchini. Wengine mwanzoni wanaonekana Wema kumbe anakuchimba akishajua kipato chako na mkeo anaanza mizinga reja reja siku ukimnyima anadai ataenda kuharibu home. Aisee mm nilimtumia mchepuko mpaka namba ya wife anwambie live. Na wife alivyo fyatu asifikiri atamchekea na kumpongeza.
 
Umesema kweli ila kumwacha mchepuko ni kazi kubwa kuliko kumwacha mke! Mchepuko ni kama bando la chuo,ni msaada mkubwa sana kwa wenye long calls ila Main Chick she's just there!
sasa ikitokea umemuacha mkeo, ina maana utavuta side chick awe mama mwenye nyumba, kwahyo utatafuta mchepuko mwingine?
 
Hivi mkuu unakaa pande zipi!!. .. Mana daah una maneno mpaka nashangaa...
Unaonekana wewe ni muongeaji wa kupindukia.
Aisee jamaa ana msitu wa maneno ni balaa. Eti ujisugue kwa utomvu wa mpapai na steelwire!
 
[emoji16][emoji16]siku moja nkatiwa love bite na mchepuko Duh nimepata tabu kuificha Hadi iyeyuke
 
Safi sana na Baraka tele.
 
Mkuu hongera nimejfunza kitu hapo ..maana yanatumaliza kama misukule ..hapa nimelkimbia moja linataka laki
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah wee jamaa umeua eti hoho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…