Wanaume vijana 20's-35 wanaboa sana!

Wanaume vijana 20's-35 wanaboa sana!

Nimekuwa nikiwaambia mabinti kwamba mnakosa starehe kwa kuwafuata hao vijana wa dot com, wazee nd'o mpango mzima.
 
Siop hawajui bali mmekuwa sugu. Mabinti walilelewa kwenye maadili sio ishu kufika kileleni.
Ati nini?
Endelea kumgusagusa tu huku ukiomba Mungu asikutane na wa kumshika mkono akampeleka kibo ilipo lazima utakuja kufungua uzi wa malalamiko ya kukimbiwa.
 
ahahaahhahahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhahahahahhahahahhahahhaha
nilikuwa sijacheka toka asubuhi!
kwahiyo Zahra White unataka kusema vijana waendelee tu kupiga supra na suruali za kijani wazee wa njenje ndo mpango mzima!
ahahahhaha wapi dogo langu la toka enzi za mwalimu Madame B
 
Last edited by a moderator:
hayo mambo wanafanya muhimbili.

kuna wanawake wanalidhishwa na dushelele linavyo kuna kikunio...
kuna wanawake huridhika hata kwa kuutomasa tomasa mwili wake dushelele linamalizia sehemu ndogo sana......

sikulupuki kama unavyodhania.....yule alirudisha fedha kwa sabab alikunwa akakunika akasema sina haja ya kukulipisha wakati umenifanya nijisikie ni mwanamke niliekamilika....umenisoma
biashara matangazo
cc Zahra White
 
Last edited by a moderator:
Siop hawajui bali mmekuwa sugu. Mabinti walilelewa kwenye maadili sio ishu kufika kileleni.

unajua nilikuwa siamini walivokuwa wanasema mwanamke anaogopa kufanya marutundu ataonekana m.alaya
kwa hiyo we best mtu akiwa anafika kileleni nyumbani kwao kulikuwa kuna bar ya gongo sio?
na yule asiyejua kilele manake nyumbani kwao kulikuwa na makerubi?
UUUUUUUUUUUUUUUUUUUWIH KUWA MWANAMKE NI KAZI SANA!
miss yu Kongosho
 
Last edited by a moderator:
hatuonekane wanao onekana ni hawa madogo wanao vaa suruali kwenye makalio wao wanajua kupanda na kushuka kama wako safarini......pamabfu zao........wapiga kazi tumetulia tuuuuuuuuuuuuu.......
Poleni waathirika wa generelization.
Ongeeni na wenzenu sasa.
 
Hahaaaa....Ivi huyu mhamiaji haramu bado yupo nchini?
 
Hahah afu wewe.

Storongo ni kimalizio cha utamu. Vidole na ulimi vinakuwa vishatimiza majukumu ya utamu kwa asilimia kubwa.

Kama storongo ndo ingekuwa mambo yote lesbians wasingekuwepo.

Vijana fanyeni mautundu vitandani, sakafuni na mabafuni kabla hamjaitumia storongo. Mechi bila mazoezi mtakuwa wachovu na timu itakosa ushindi.

Sijui nani kahack account yangu leo. Mi siandikagi matusi kabisaaa

waambie hao......kuna mwingine anajisifia eti huwa anafunga magoli 8 tatizo siyo kufunga

je unayafungaje!!!!!!!wao ni kuchochea tu ukimaliza ligi Kei inakuwa ka inawaka moto lol!!!!!!!

Mechi sijui za wapi hizo .............

najua sio wewe unaeandika ni yule Eliza wa Tegeta
 
unajua nilikuwa siamini walivokuwa wanasema mwanamke anaogopa kufanya marutundu ataonekana m.alaya
kwa hiyo we best mtu akiwa anafika kileleni nyumbani kwao kulikuwa kuna bar ya gongo sio?
na yule asiyejua kilele manake nyumbani kwao kulikuwa na makerubi?
UUUUUUUUUUUUUUUUUUUWIH KUWA MWANAMKE NI KAZI SANA!
miss yu Kongosho

Mabwaku!!!!!!!!maadili VS Kufika kileleni wapi na wapi!!!!!!!!!!!!

ka ndio hiyo analysisi ya nkyalomkonza basi nahisi mie nyumbani kwetu kuna bar ya gongo......
 
Last edited by a moderator:
Hii mada hainogi wapiiiiiii Madame B
ahahaahhahahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhahahahahhahahahhahahhaha
nilikuwa sijacheka toka asubuhi!
kwahiyo Zahra White unataka kusema vijana waendelee tu kupiga supra na suruali za kijani wazee wa njenje ndo mpango mzima!
ahahahhaha wapi dogo langu la toka enzi za mwalimu Madame B
 
Last edited by a moderator:
ni kweli lakini, angalieni sinema ya ngasa, yuko staili moja hiohio lazima mwanamke akuchoke...
 
Back
Top Bottom