Wanaume vijana 20's-35 wanaboa sana!

Wanaume vijana 20's-35 wanaboa sana!

Zahra White Nina wasiwasi na utafiti wako.

Yawezekana sample zako 3 zilikudanganya umri(ndiyo kwanza wamebelehe), maana watoto wa siku warefu zaidi ya babazao.

Sample 1 tu utafunga utafiti wako.
 
Last edited by a moderator:
Isije kuwa uliliwa gizani tu, maana mi ukizima taa namwagilia bustani fasta tu sasa ntajuaje pengine unaficha ukurutu bora nimalize kazi kila mtu asepe.
 
Utakuwa umetumika vya kutosha au umeachwa vya kutosha huenda ndio maana unang'aka mmmhhhh. Pia mabinti mna tabia ya kuanika/kutandika tu bila hata ya kukata mauno, pili macho yenu yako wapi? kwenye mapenzi au noti? Punguza kuchunguza wallet, utalalama sana. Huna hata aibu kusema hadharani eti unabadilisha wanaume kutafta radha!!! Ushauri: endelea na 40s kama hujazeeka hapa Bongo bila kupata hata wa kutambulisha kwenu.
 
Hii kitu imerudi tena? Kwani bado wanaendelea kufakamia vipsi yai?
 
Back
Top Bottom