Wanaume vijana 20's-35 wanaboa sana!

Wanaume vijana 20's-35 wanaboa sana!

Hahaha waonje kote kote watajua tu best.... Otherwise watulizane na wafunzane kukata kiu zao...ngono ni sanaa kama sanaa nyinginezo...
Umenena vema best!
Sasa nakuja kipande ile nichukue notes,nitolee copy desa la 'The Art of Lovemaking'.
Utoro una cost!
 
Alikutana na Vtoto vbana Pua huyoo,na Sio Nguna Ndondo.. Tena akae kimya!
Lakini wabana pua wanaongezeka na nguna ndondo wanapungua,tunakoelekea thread za aina hii zitakuwa nyingi sana maana mabint wenye vifua nao wanapungua!
 
Utakuta umempenda kijana mwenzako aaa kwa mapenzi kabisa unampa gemu kwa kujua atakushusha mlima kitonga mwisho wa siku unaambulia kubakizwa na vumba tu!!!
Jamani inakera sana vijana fanyeni mazoezi,mle vyakula vizuri chips yai na mikate asubuhi zinawaharibu mbona wakubwa miaka 40's na kuendelea wanatufikisha?Nimefanya resercha yangu wababa 3 vijana 3 ila kwa kweli wababa wanajua jamani tuwape hongera sasa nyie vijana sijui tatizo ni nini?sijui vyakula,sijui haraka,sijui stress za maisha hamko stable.
Huku mjini kuna wamama wanauza mihogo mibichi na matango muwe mnanunua kidogo zinasaida pia mule korodani za jogoo.
Itakuwa mnatuoa nyie ila starehe tunazipata kwa wababa.

utakua umekutana na shoga si bure..
 
Et wabab wataraa na vijana wataraaa we utakua kibaka tu
 
Pentagon kwa wale familia bora,sisi tuliokulia mihogo ,masaa 3 upo uwanjan unakata pumzi..
Tatizo mliokulia mhogo mnapungua zubedayo mchuzi,wa chipsi yai wanaongezeka kwa hiyo probability ya wadada kukutana nanyi inakuwa almost negligible. CC Watu8 aione kwenye file.
 
Last edited by a moderator:

Kwani Ennie, wewe katika pitapita yako,

umeshakutana na hao wala chips?
 
Umenena vema best!
Sasa nakuja kipande ile nichukue notes,nitolee copy desa la 'The Art of Lovemaking'.
Utoro una cost!

Hahaha karibu karibu best...sharing is caring.
 
Noted kipenzi....

Tatizo mliokulia mhogo mnapungua zubedayo mchuzi,wa chipsi yai wanaongezeka kwa hiyo probability ya wadada kukutana nanyi inakuwa almost negligible. CC Watu8 aione kwenye file.
 
Last edited by a moderator:
Utakuta umempenda kijana mwenzako aaa kwa mapenzi kabisa unampa gemu kwa kujua atakushusha mlima kitonga mwisho wa siku unaambulia kubakizwa na vumba tu!!!
Jamani inakera sana vijana fanyeni mazoezi,mle vyakula vizuri chips yai na mikate asubuhi zinawaharibu mbona wakubwa miaka 40's na kuendelea wanatufikisha?Nimefanya resercha yangu wababa 3 vijana 3 ila kwa kweli wababa wanajua jamani tuwape hongera sasa nyie vijana sijui tatizo ni nini?sijui vyakula,sijui haraka,sijui stress za maisha hamko stable.
Huku mjini kuna wamama wanauza mihogo mibichi na matango muwe mnanunua kidogo zinasaida pia mule korodani za jogoo.
Itakuwa mnatuoa nyie ila starehe tunazipata kwa wababa.

Tatizo lenu mmawapenda wale jamaa ambao wanavaa viatu vekundu, kofia nyeusi, jinsi nyeusi na t-shirt nyekundu, mwili umetepeta, maneno mengi, chakula analambalamba, kila saa anachat...very poor of u kuja hapa na malalamiko wakati mnawapenda wenyewe for show off.....
as for me hata dem mwenyewe akiniletea mapigo ya show off mfano kila saa kuchat, kila saa anashangaa kizungu eti waooo!!!!chakula analetewa anachotaka halafu anaishia kulambalamba wakati ni hela nimetumia...mara kila saa kuongea sherehe,birthdays,shopings bila kuangalia if the topic is relevant kwa muda huo...kama huyu hata bao mbili ziwezi kwake na zaidi nitakua natwanga tuu bila kujali upande wake na bili namuachia akishindwa achonge viazi na kuosha vyombo...
my take is kwenye jinsia zote...wachovu wa tabia za kuiga na wachovu wa miili na pumzi wanjulikana mpaka mtu unapoteza apetite kabla hata ya kuduuuuu...
 
Mh!! Nimebaki nashangaa, so ndiyo maana waume zetu wamekuwa wanatafutwa na wasichana zaidi kwa sababu wanajua? sasa naenda kutafuta speed gavana nimfungie halafu tuone kama watakuja kuwasifia hapa tena.
Pia sisi tulipokuwa wadogo kaka yetu alikuwa hali chakula tunachukula sisi, yeye alikuwa anakula na baba, tena walikuwa hawali mboga iliyoungwa, wao ni chuku chuku,na ugali, viazi vitamu, nyama choma, kaka yetu alikuwa akikutwa na baba anakula wali anagombezwa sana nikawa nashangaa kwa nn anagombezwa kumbe ili baadaye aweze kuwa na nguvu, Leo nimeelewa.
 
Kwa namna ulivyoelewa nawaonea huruma tu wanao wa kiume...kuanzia leo neno ubweche litakuwa msamiati kwao...:becky:

Mh!! Nimebaki nashangaa, so ndiyo maana waume zetu wamekuwa wanatafutwa na wasichana zaidi kwa sababu wanajua? sasa naenda kutafuta speed gavana nimfungie halafu tuone kama watakuja kuwasifia hapa tena.
Pia sisi tulipokuwa wadogo kaka yetu alikuwa hali chakula tunachukula sisi, yeye alikuwa anakula na baba, tena walikuwa hawali mboga iliyoungwa, wao ni chuku chuku,na ugali, viazi vitamu, nyama choma, kaka yetu alikuwa akikutwa na baba anakula wali anagombezwa sana nikawa nashangaa kwa nn anagombezwa kumbe ili baadaye aweze kuwa na nguvu, Leo nimeelewa.
 
Utakuta umempenda kijana mwenzako aaa kwa mapenzi kabisa unampa gemu kwa kujua atakushusha mlima kitonga mwisho wa siku unaambulia kubakizwa na vumba tu!!!
Jamani inakera sana vijana fanyeni mazoezi,mle vyakula vizuri chips yai na mikate asubuhi zinawaharibu mbona wakubwa miaka 40's na kuendelea wanatufikisha?Nimefanya resercha yangu wababa 3 vijana 3 ila kwa kweli wababa wanajua jamani tuwape hongera sasa nyie vijana sijui tatizo ni nini?sijui vyakula,sijui haraka,sijui stress za maisha hamko stable.
Huku mjini kuna wamama wanauza mihogo mibichi na matango muwe mnanunua kidogo zinasaida pia mule korodani za jogoo.
Itakuwa mnatuoa nyie ila starehe tunazipata kwa wababa.

Kwanini mzaliwe wengi kiasi hicho. Ukitaka uwe peke yako wenzako watakuwa na nani? Wasiolewe? Acha tuinjoi bana
 
Kwa namna ulivyoelewa nawaonea huruma tu wanao wa kiume...kuanzia leo neno ubweche litakuwa msamiati kwao...:becky:

Kula wanakula kama kawaida, ila mara nyingi napenda kuwapa mboga chuku chuku, maana nilikuwa naona baba na kaka yangu walivyokuwa wanakula, ila sikuwa naelewa kuwa inajenga misuli na kuwa wananguvu. Leo nimeelewa hawatakula mboga za nazi tena, wanatakuwa wanazisikia kwenye bomba tu, ya nini nije kutukanwa kuwa mwanangu si mali kitu hawezi kazi, Khaaaaaaaaaa!!!! Watu8 embu fikiria hilo nitaweka wapi uso wangu.
 
sio wote bana..ila kwa bongo niwengi..akilalia mwanamke utafikiri analenga shabaha..
hata style sio za ubunifu
mimi kabla cjaingia ulingoni na hakikisha keshapiga viwili kwa ulimi tu..mzee ni kiingia ndani ya 15mnts anaomba maji..
 
Best kitu muhimu ni watoto walishwe mlo bora iwe wali au ugali...

Kitu kingine kinachokosekana kwa wanaume wengi sasa ni ukosefu wa mazoezi ya mwili...mfumo wa maisha umeharibu wengi hapa...zoezi pekee mtu analofanya ni kugombea daladala...

Kula wanakula kama kawaida, ila mara nyingi napenda kuwapa mboga chuku chuku, maana nilikuwa naona baba na kaka yangu walivyokuwa wanakula, ila sikuwa naelewa kuwa inajenga misuli na kuwa wananguvu. Leo nimeelewa hawatakula mboga za nazi tena, wanatakuwa wanazisikia kwenye bomba tu, ya nini nije kutukanwa kuwa mwanangu si mali kitu hawezi kazi, Khaaaaaaaaaa!!!! Watu8 embu fikiria hilo nitaweka wapi uso wangu.
 
Duh nashindwa ata kujua nikasirike..niskitike..nifurahi au...
Ila poa Zahra White...hata huyo mbaba alikuaga 20 - 35.
Cha maana punguza uzinzi...

Hahah homeboy naona leo madogo mmekula za uso.

Nitafute nikupe abc za haya makitu. Vinginevyo magelfrendz wenu wataendelea kupanga foleni kutafuta huduma za wakongwe sisi.

Pole kwa madongo. hahaha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom