Wanaume vijana 20's-35 wanaboa sana!

Wanaume vijana 20's-35 wanaboa sana!

Wanaoishi mikoani ila si vijana wa dar es salaam offcourse nimeshafanya kazi mikoa sana vijana wanasimamia show vibaya sana ila si vijana wa dar es salaam yaani aibu wanatia aibu

tatizo hali ya hewa ...mashine hazikawii kusinyaaa na kulegea fasta...

huwa ligi la arusha na dar nitofauti mno.
 
kumbe above 35 ndo wazuri eeh
shukrani kwa kunipa tips
below 35 waendelee kuuza sura samakisamaki na chips mayai na ice cream!

punguza huo umri hata kuazia 25 kuendelea..kama unalipiga limama mpaka linacheua naa unatoka nje kutafuta kabinti kakuipoza mashine..hapo vip
 
punguza huo umri hata kuazia 25 kuendelea..kama unalipiga limama mpaka linacheua naa unatoka nje kutafuta kabinti kakuipoza mashine..hapo vip
Hapo una tatizo,kamuone daktari.
 
Ha ha ha haaaa
we kitoto we
unataka nikuambia kuwa najua ili
ujue baba yako anavyofaidi au unataka nini.

Stress na wivu unakusumbua tokea ujana wako mpaka uzee wako hujui orgasm.
Pole sana maana hutoijua milelele
 
Dah, siamini kama vijana wote wana matatizo hayo. mie tangia niwe kwenye ulimwengu wa malove sijawahi kunung'unikiwa na mwanamke eti kwa kutomfikisha kileleni. tena mara nyingi mwanamke huwa wa kwanza kufika kileleni halafu mie ndo namalizia. kama huamini nipm

mie nashangaa labda tuwaulize iweje mwanamke una mdu mpaka anauliza tupumzike...mara mbona humalizi..what is this na kweli ukicheki ishu iko poa mpaka unajiuliza akitoka huyu unaita mwingine..
mi nafikiri huyo dada alikutana na masharo baro walamba koni...na wava supra na waimba bongo fleva ambao hata mashine zao zinavionea huruma..nyama..huku kwetu msosi duni asubuhi tu unachezea nyama mpaka saa nane..
 
Hahaha.... Togwa limeingia nzi hivyo....
Umeona eeh!
Ila kimya kingesaidia si unajua debe linalotika ndio TUPU?
Au mwl wangu wa Kisw alinilisha matango pori?
 
Umeona eeh!
Ila kimya kingesaidia si unajua debe linalotika ndio TUPU?
Au mwl wangu wa Kisw alinilisha matango pori?

Mwl wa Kiswahili alikuwa sawa sawia....

Lakini wanafunzi hawa wa zamani wanataka praktiko hawataki thiore, inaonesha walikuwa wanapenda sana somo la Baiolojia
 
Mwl wa Kiswahili alikuwa sawa sawia.... Lakini wanafunzi hawa wa zamani wanataka praktiko hawataki thiore, inaonesha walikuwa wanapenda sana somo la Baiolojia
Ila mtoa mada amegonga pentagon! Thread inakimbiaje? Na kila mkaka anadai yuko njema wakati mabint wanadai kuna tatizo!! Sasa which is which?
 
We utakuwa kahaba bila shaka

Nyalotsi hyo anayosema wa mikoani cjui kama ni kweli, ila nakumbuka, dar nlikua nakuja tu kwa kufanya mambo yangu Mengine lakini ikatokea wazaz wakahamishwa kikazi kuja huku dar na mim chuo nichaguliwa huk huku kwa bahat,sasa mtaani ikatokea wakafaham kua nlikua naishi mkoani, rafiki zangu wakaniambia niangalie sana wale wasichana wanapenda watu wa mkoani, muda si mrefu walipata no. Yangu ikawa usumbuf kwa sabab naogopa sana ukimwi ikabidi nianze kubadili no. Wakiifaham..
 
Ila mtoa mada amegonga pentagon! Thread inakimbiaje? Na kila mkaka anadai yuko njema wakati mabint wanadai kuna tatizo!! Sasa which is which?

Hahaha waonje kote kote watajua tu best....

Otherwise watulizane na wafunzane kukata kiu zao...ngono ni sanaa kama sanaa nyinginezo...
 
Hujakutana na vijana wataalam wa mtindo wa chicken wings... Kamwe usingeleta hii post..panua wigo wa research yako
 
Ila mtoa mada amegonga pentagon! Thread inakimbiaje? Na kila mkaka anadai yuko njema wakati mabint wanadai kuna tatizo!! Sasa which is which?

Alikutana na Vtoto vbana Pua huyoo,na Sio Nguna Ndondo.. Tena akae kimya!
 
Acha kushindia chips yai wewe kula dona,kuku wa kuchemsha mihogo,chemsha korodani za jogoo fanya mazoezi ya pumzi
Unajua wingi wa mabao haumaanishi kuwa hiyo mechi ndio ilivutia sana na kuwa nzuri. Halafu siku zote kibaya ndio hujitembeza.
 
Utakuta umempenda kijana mwenzako aaa kwa mapenzi kabisa unampa gemu kwa kujua atakushusha mlima kitonga mwisho wa siku unaambulia kubakizwa na vumba tu!!!
Jamani inakera sana vijana fanyeni mazoezi,mle vyakula vizuri chips yai na mikate asubuhi zinawaharibu mbona wakubwa miaka 40's na kuendelea wanatufikisha?Nimefanya resercha yangu wababa 3 vijana 3 ila kwa kweli wababa wanajua jamani tuwape hongera sasa nyie vijana sijui tatizo ni nini?sijui vyakula,sijui haraka,sijui stress za maisha hamko stable.
Huku mjini kuna wamama wanauza mihogo mibichi na matango muwe mnanunua kidogo zinasaida pia mule korodani za jogoo.
Itakuwa mnatuoa nyie ila starehe tunazipata kwa wababa.

Nitafute uone kama utawapenda tena hao wababa,utashushwa kitonga,senkenke mpaka mlima salanda,na vitakavyo baki...PM YAKO NAINGOJA.
 
Hujakutana na sample zenyewe, utapigwa hadi hiyo papuchi ipate moto na usiamke siku mbili kuugulia maumivu na uchovu wa shughuli. ONYO-Usiwe after money kwa kijana utampa stress ashindwe kukupa huduma vizuri.

nimependa ONYO ulilompa ,hilo ndio moja ya sababu inatutesaga na yenyewe
 
Ila mtoa mada amegonga pentagon! Thread inakimbiaje? Na kila mkaka anadai yuko njema wakati mabint wanadai kuna tatizo!! Sasa which is which?

Pentagon kwa wale familia bora,sisi tuliokulia mihogo ,masaa 3 upo uwanjan unakata pumzi..
 
Back
Top Bottom