Wanaume uwezo umeshuka?

ooh so kuna sex na making love? can u give mi the differences?
 
Hapo kwenye rangi ndio maneno yote yapo hapo pia uvutaji wa sigara ambao unamaliza sana nguvu lakini watu wamo tu wanamaliza mapacket mawili au hata matatu kwa siku.

Kweli kabisa kaka na bado tunajiletea matatizo tunatafuta wachawi ni nani na waganga wamegundua matatizo yaliyopo wanazidisha kazi
 
ooh so kuna sex na making love? can u give mi the differences?

yeah kwani babiii hujui kuwa kuna sex na kumake love
Kama sijakosea sex ni pale ambapo hakuna cha kufanya sijui foreplay wala nini yaani unaingia kitandani mambo yanaanza hakuna kumuandaa mwenzako wala nini na hii sana sana iko kwa wale wanaofanya biashara
Kumake love ndio haswa yaani mnajiandaa kabisa kwamba today we are going to make love na maandalizi yanaanza mapema sio kukurupuka na mnajipa muda wa kufanya maandalizi na inakuwa haswa mnamake love maana kila mmoja anardhika
 
thanx ngoja nitafute wa kumake nae basi then nitakuja nikupe majibu
 
thanx ngoja nitafute wa kumake nae basi then nitakuja nikupe majibu

Kwa nini utafute wakati tupo bana
We jimuvuzishe kwangu tukamake love Bebiii
Na hutosahau na utajikuta hata ulokole unakutoka
 
sio sasa 2020


Mhhh huo mwaka mhhh ngoja nipige mahesabu kama nia na lengo la mwaka huu linawez akusubiri mwaka huo
Naona mahesabu yamekataa
Maana siwezi vuimilia ugumu mpaka 2020
 
Mhhh huo mwaka mhhh ngoja nipige mahesabu kama nia na lengo la mwaka huu linawez akusubiri mwaka huo
Naona mahesabu yamekataa
Maana siwezi vuimilia ugumu mpaka 2020
u can nisubiri bwana hapo nitakuwa saizi yako
 
Hivi wewe ni under age au ushavuka age of majority
na jua kwamba sheria inasema miaka 15 unaweza kuolewa kwa ridhaa ya wazazi
mimi niko 30 wewe unatakiwa vitu vya 38 kwenda juu hutaniweza wewe?
 
mimi niko 30 wewe unatakiwa vitu vya 38 kwenda juu hutaniweza wewe?

Mimi bado ndo nimeingia age of majority so bado damu inachemka mbaya ndo maana nasema 30 minutes utaomba maji ya kunywa
 
wanawake wa siku hizi wamejiharibu.. ushike paji la uso ..uende chini kati.. anakushangaaa tu yani wamejiharibu wao wenyewe... sijui Why?
 

Hayo matusi sasa,haimaanishi tunaofanya kegel kila siku "hali zetu ni mbaya"
Kegel ni mazoezi kama mazoezi mengine,hauhitaji kuandikiwa na daktari ndo uanze kukimbia uwanjani mara 20,...
kama wewe ni mwana mazoezi utakimbia tu na usipofanya hujisikii fresh.

I kegel everyday,but that doesn't mean kwamba sijiamini,....ni mazoea tu toka enzi hizo sijui kama
ninachofanya ni kegel!!!!
 

Please,tatizo lake ni dogo sana!!!!!!
Kama ni rafiki yako kweli msaidie kwa hilo (unaweza),....

Kwa wenzetu wachina kila kiungo cha mwili kina mazoezi,sisi tumekomalia kukimbia (which is genera)
na kujazia vifua (gym),,,.....

Wenzetu vidole vina mazoezi yake,shingo,miguu,sikio nk
vivyo hivyo,kama unafanya mazoezi mengine unasahau kufanya mazoezi ya "mdudu" wako
inaweza kukufanya udharaulike (kama uliwahi kua addicted na masturbation),....

Usimlaum,ila jidai kuongelea kitu kinaitwa kegel,na mshauri atafute jinsi ya kufanya hayo mazoezi
utakua umemsaidia milele (hata wewe unaweza kuyafanya haya)
 

That's why i love my woman
 

mmmhh wewe mumeo anapata tabu kama ni hv duh! teh teh teh
 
hamna mahali imeelezwa hizo pombe na ulivyovitaja vinaboost sex drive,ama uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa mwanaume...ni imani tu au ni katika jitihada za kuondoa aibu wakati wa kudo.
 
hamna mahali imeelezwa hizo pombe na ulivyovitaja vinaboost sex drive,ama uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa mwanaume...ni imani tu au ni katika jitihada za kuondoa aibu wakati wa kudo.

sasa mbona vinatumika kwaufanisi? maana kama isingekuwa ufanisi wasingevitumia
 
kiukwel wanawake wa sasa ivi wamekua SUGU.
Nilikua Chimala mbeya
Nanilipata bahati ya kupata kidosho wa kuvinjari nae,lakn cha ajabu nikuwa yule dada ni sugu,nilikua namridhisha vizuri,na nikimaliza nilikua namuuliza kama katosheka,
Kiukwel wamekua sugu maana UNAMPUMULIa KISOGÖNi bt nî sugu,hawasikii cha muogo wa
Jang'ombe wala wa mwananyamala.

Kwaiyo Usugu wa kutosikia mikiki ya muogo wa jang'ombe ndo mana tunaonekana hatuKAZI NATI VIZURI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…