Wanaume uwezo umeshuka?

mmmmmmmmmmmh shetani ashindwe


Bebii ur serious na sentence yako, hiyo ni dhambi kweli tena me nadhani afadhali kuliko kufanya mapenzi nje ndoa ambayo ndo dhambi halisi umezini!
 
Ile ilikuwa beyong recovery!

Dear nothing impossible under the sun. Busara ilikuw aumsaidie atatue tatizo lake na umsaidie ajielewe kuwa ni tatizo maana kama angejielewa angetafuta njia mbadala za kufanya au kulitibu
 
Mi ndo maana japokuwa sigongi hayo ma-valeur wala hizo soup zenu za ajabu huwa sishuki mpaka nipewe ruhusa na baada ya kupewa ruhusa ni another 4 tolerance minutes.
 
jani likishadondoka halirudi tena mtini

Hizo ni falsafa za akina Archimedes sijui nani wale hata haziapply hapa
HApa tunaaapply uhalisia zaidia na wala sio hizo falsafa
 

Mh! akyamaulana! umeikomelea utadhani alikuharifu kabla hajaipost hapa! manake haya majibu ni ya kitaalumu kabisa! mi no komenti kabisa hapa.
 
Hili ndilo jibu la thread
 
Reactions: mja
Wanaume wana kazi siku hizi maana ukiacha mapungufu yao, kuna changamoto za kina dada wasagaji, bongo feminist(hamna haiba ya kike), na wanaojichua. Kidume ukikutana na sampuli mojawapo kati ya hizi kibarua kinakuwa kigumu zaidi.
 

Sasa wewe ulimpa vitu hadimu (Mtandao). we unategemea nini??
 
kwani kufika kileleni ndo aje kweli kuwa serias mimi sijawai nasikiaga tu. Kama wewe ni mwanaume utajuaje mwanamke wako kafika? Na kama wewe ni mwanamke utajuaje nimefika?

bebii, are u baby, or what..??? hakuna kitu kizuri kwa mwana mama kufika climax.. na areal man ( i'm , no need to booster ), atajua kama mwenza wake amefika kileleni.. its natural... u do not need to fight.. differentiate sex and making love... that's where u will understand ... no kukomoana, no booster, no nothing...
cheeers
 
with due respect , sio lazima ukake kwa nusu saa, foreplay must last longer, na kuiingi kati, less that 10 minutes you both in heaven...

Ndo maana wanasema utaaalamu na matumizi ya viungo mbalimbali sio umekaa pale juu kw adak ngapi ila je wote mko satisfied
 


Hapo kwenye rangi ndio maneno yote yapo hapo pia uvutaji wa sigara ambao unamaliza sana nguvu lakini watu wamo tu wanamaliza mapacket mawili au hata matatu kwa siku.
 
dada kweli na uko juu sana maana hayo ndiomyanasababisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…