Wanaume uwezo umeshuka?

Kutojiamini, kutaka kukomoa na negative attitude zingine zote.

Hii ndo point ya msingi,mapenzi siku hizi (kwa walio nje ya ndoa) ni kukomoana tu,....
sa sijui nani anamkomoa nani,unakunywa midude yako,mnachubuana huko unapata magonjwa,....

Aku,me kama binti sina mpango nae hata nikifanya fasta kama kuku poa tu
 
Na wewe jitahidi kula vyakula vya kukuongezea hamu ili uweze kufika haraka, Haswa ukizingatia zama hizi za Ukimwi, ukisuguliwa sana unaweza abukiza kirahisi.
Najua hutumii dawa ya penzi.

haha hahaa !!!!!!!!!...dahh umejuaje swahiba?
dawa ya penzi mimi musa?....tokazakooo!!!!!!!!!
 
<br />
<br />
We endelea kula kiti moto na mikuku ya kizungu uje uone habari yake kukisha kuchwa
 
Ezan
Ishu watoto wakali kuwa-maintain ni kazi sana, hasa ukichukulia wanahitaji uwekezaji mkubwa hivyo mtu anawekeza na anataka apate faida siku hiyohiyo ili hata kama wameachana awe amerudisha faida(bao saba)

hapo umesomeka
 
Hivi ni nn kimewakuta wakaka wa siku hizi?
Inasikitisha sanasana kuona mpaka wajiboost na makonyagi au valeur
 

Sio swala la uwezo hapo ishu ni kulinda heshima.
Kama mwanamke ndo umekutana nae siku ya kwanza lazima upige uwafunike wote wa nyuma.
Hapo sasa kwenye kujenga heshima lazima utafute vionje kama ukimiz gongo na valuu kisha unaweka na karanga mbichi lazima utajenga heshima kwa huyo mwanamke.
 

Wanaume wa siku hizi mmmmmmmmmmmh! Kijana mdogo perfomance zero
 
mazoezi, mazoezi hatuna na kupaniana kwingi saaana kunaharibu
 
mazoezi, mazoezi hatuna na kupaniana kwingi saaana kunaharibu

Demu anakujia na wapambe 3 huku na huku wamekukamua laki 2 kwa nini na wewe usimnywee Viagra
 
mazoezi, mazoezi hatuna na kupaniana kwingi saaana kunaharibu

You said it well,,,
Watu wanaona raha sana kufuga matumbo kama wana mimba afu
baada ya mda ndo kuanza kulilia madawa na mapombe,kudadeki kateni mafutaaaaaa!!!!!!!
 
You said it well,,,
Watu wanaona raha sana kufuga matumbo kama wana mimba afu
baada ya mda ndo kuanza kulilia madawa na mapombe,kudadeki kateni mafutaaaaaa!!!!!!!

Hahahahaha mzee hujui mademu wa kibongo bongo wanapenda wenye matumbo makubwa eti ndo wenye mshiko
 
mazoezi, mazoezi hatuna na kupaniana kwingi saaana kunaharibu


Hapa nakubaliana na wewe mkuu mazoezi hatuna
Mtu anakaa ofcn kuanzia asubuhi mpaka jioni na kiti cha kuzunguka anatoka anaingia kwenye gari anaenda bar kupata nyama choma na bia akitoka hapo anaenda home kulala hapo unatarajia nini
Na hiii ni kuanzia jumatatu mpaka jumamosi na hata jumapili kwa wengine hakuna hata kutembea kidogo
 
Demu anakujia na wapambe 3 huku na huku wamekukamua laki 2 kwa nini na wewe usimnywee Viagra

Kaka hapo unakuwa hujamkomoa, kumbuka umetumia extra energy 'kumkomoa' kwa akili yamwanaume utaona umemkomoa kumbe ndo kwanza umejiumiza ww, hayo ma pombe/viagra yanama side effect kama kuumwa kichwa, kuchoka saana next day, pressure na kujisikia kujihisi homa nk nk.. haujui yy ni sugu kiasi gani? au kufanya vile ndio kwanza umemridhisha yeye, sababu amefika kigoma... tusifanye kukomoana kwani hasira za mkizi.....
 
hata siwaelewi wanaume kwani mnafanya mapenzi ili iweje?
 
Hahahahaha mzee hujui mademu wa kibongo bongo wanapenda wenye matumbo makubwa eti ndo wenye mshiko

Hili ndo tatizo kubwa kabisaaaa,ndo maana hata vyuoni
wanafunzi utawakuta wana jishika matumbo mda mwingi,eti wanafuga "kitambi"

Sasa ina maana gani?wakuone unahela (may be yes/no) afu baadae wakudharau
kwamba jamaa anahela lakini 6*6 ni boya tu,....men

Bora nibaki nilivo,wether ninahela au sina hela lakini nafurahia mambo ya kikubwa,....
Haha,hao wenye matumbo nasikia wanaishiaga kuomba "walambwe corn" haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…