Wanaume: Ukimpata mwanamke, jua kuwa mwanamke kataka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume: Ukimpata mwanamke, jua kuwa mwanamke kataka

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nazjaz, Oct 3, 2012.

 1. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,138
  Trophy Points: 280
  Utakuta baba zima anajisifia eti ye ni kiboko kwa mabinti , akitongoza tu, binti hachomoi.
  Kwa taarifa yenu ni kuwa mwanamke hakukubali kwa ushawishi wako, ila kwa kuwa yeye mwenyewe ameamua
   
 2. nipeukweli

  nipeukweli JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  kweli...ila mara nyingine it depends
  ..kuna ule msemo kwmba "a woman learns to love"
   
 3. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,096
  Likes Received: 11,234
  Trophy Points: 280
  asingekupiga sound ungeendelea kutaka.
   
 4. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Semaaaaa! Sema! Seeeeeema! Sema! Semaaaaaa Usiogope! Tena Upaze Sauti!! Aluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  au anataka kuhave fun we unadhani ndo umemkamata......saa zingine tunawachora jamani mkae mkijua......
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mnhhhhhhh
   
 7. Root

  Root JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,213
  Likes Received: 12,921
  Trophy Points: 280
  Jamani wapo wanaokubali kwa maneno matamu mdogo mdogo anakubali ila huwa naona wanakubali ili kuondoa kusumbuliwa maana tunsumbua sana

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,494
  Trophy Points: 280
  mwanamke hajaamua pesa ndio inaamua
   
 9. s

  sacha Member

  #9
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kweli kbs km hakutaki hakutaki tu hata utumie lugha gani!!!
   
 10. s

  sheki New Member

  #10
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pia kiukweli wapo watu wanavutia wengine kwa asili na wengine gundu full
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,019
  Likes Received: 23,747
  Trophy Points: 280
  Kuna ka ukweli ndani yake lakini pia yaweza kuwa hujamtaka mwanaume ila hela yake.

  Kwani shimo linajaa? kama halijai kwanini ujivunge kukamatamo ka Vitz ka buuuure.
   
 12. N

  Natalia JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Disgusting
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hata sie tunawachora tu si unajua ukikaa mda mrefu bila kutongoza mistari inapotea? so huwa hatupo serious tunafanyaga mazoezi tu...
   
 14. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ukweli mwanamke humkubali mwanaume baada ya kujiridhisha kisaikolojia kile akipendacho atakipata, akipendacho kinaweza kuwa pesa, utanashati, uachamfu n.k na mwanaume ili ukubalike ni lazima uwin akili ya mwanamke katika yale matamanio yake.
   
 15. K

  KIBONGOMKUTI JF-Expert Member

  #15
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 1,415
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  [h=2][/h]
  [​IMG] By Nazjaz [​IMG]
  Utakuta baba zima anajisifia eti ye ni kiboko kwa mabinti , akitongoza tu, binti hachomoi.
  Kwa taarifa yenu ni kuwa mwanamke hakukubali kwa ushawishi wako, ila kwa kuwa yeye mwenyewe ameamua  au anataka kuhave fun we unadhani ndo umemkamata......saa zingine tunawachora jamani mkae mkijua......


  • [​IMG]
  King Kong III likes this.

  Preta; Well said cku zote nimekuwa natafuta mdada wa ku- have fun bila kudanganyana kuwa I love u blah blahkiukweli wengi niliofunguka wali- complain kuwa nawadharau? Tufikie mahali tunafunguka kula Bata bila kufuatana fatana baada ya Game.
   
 16. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #16
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,699
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Mmmmmh
  convising power!
   
 17. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #17
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kaazi kweli kweli....
   
 18. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #18
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,441
  Likes Received: 9,089
  Trophy Points: 280
  Tunaita kunoa mdomo..! Wanawake ni dhaifu sana...!!
   
 19. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #19
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  sasa kama ni hivyo mbona mwaturembulia na maringo tele...sii ukubali tuu siku ya kwanza kama kweli maneno matamu haya umuhimu katika kumpata demu
   
 20. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #20
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Mwanamke unayaweza weye!

  Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
   
Loading...