Wanaume: Ukimpata mwanamke, jua kuwa mwanamke kataka

sasa kama ni hivyo mbona mwaturembulia na maringo tele...sii ukubali tuu siku ya kwanza kama kweli maneno matamu haya umuhimu katika kumpata demu

Nilichojifunza ni kwamba mwanamke asipokukubalia wewe siku ya kwanza au akakuzungusha hata mwaka mzima haina maana anafanya hivyo kwa wanaume wote, wapo anaowakubalia papo kwa papo na kwenda kulala nao muda huohuo. Nilishuhudia mmoja wa rafiki zangu akifukuzia demu kwa zaidi ya miezi mitatu, pamoja na kumuazima demu gari awe anatumia, lakini kwa kipindi chote hicho hakupata kitu. Na ikatokea siku niko na rafiki yangu mwingine tukakutana na huyo demu, mshkaji hajuani na huyo demu, wakaanza kupeana intro akamtongoza cha kushangaza demu kakubali hapohapo ikabidi ni-wa-drop gesti niwaache niendelee na mizunguko niwarudie baadae.
Mi nadhani demu anapokuona kwa mara ya kwanza anakuwa ameshakuweka kwenye ma-group matatu
1)Yes : hapo hata ukiongea pumba unabeba.
2)50/50: hapo inabidi msuli kidooogo.
3)No : akikuweka kwenye NO itabidi utumie nguvu za ziada vinginevyo hupati ng'o.
 
Utakuta baba zima anajisifia eti ye ni kiboko kwa mabinti , akitongoza tu, binti hachomoi.
Kwa taarifa yenu ni kuwa mwanamke hakukubali kwa ushawishi wako, ila kwa kuwa yeye mwenyewe ameamua

Umesema ukweli.
Mwanamke akikutaka inabidi aitikie uongo wote unaomwambia ingawa anajua ni uongo. Kwa sababu akianza kukubishia atakupataje na yeye anakutaka?
Ndio maana wanaume wawili tofauti wanaongea uongo uleule kwa mwanamke mmoja, lakini mmoja anakimbizwa na anaonekana ni mwongo na hana adabu na mwingine anakubaliwa na anaitwa mwenye adabu na busara. Hiyo inasababishwa na power of love, au interest nyingine mwanamke anayoiona kwa mwanaume kabla hata ya kutongozwa.
 
Utakuta baba zima anajisifia eti ye ni kiboko kwa mabinti , akitongoza tu, binti hachomoi.
Kwa taarifa yenu ni kuwa mwanamke hakukubali kwa ushawishi wako, ila kwa kuwa yeye mwenyewe ameamua

... naona kuna sehemu mmeazia huu ubishi wenu nasi hatukuapo, si mngemalizana huko huko?
 
au anataka kuhave fun we unadhani ndo umemkamata......saa zingine tunawachora jamani mkae mkijua......

Hahahahaa pamoja na kuchoreka lakini si tayari keshatungua tunda.....................!!
 
Utakuta baba zima anajisifia eti ye ni kiboko kwa mabinti , akitongoza tu, binti hachomoi.
Kwa taarifa yenu ni kuwa mwanamke hakukubali kwa ushawishi wako, ila kwa kuwa yeye mwenyewe ameamua

Kama umeamua mwenyewe mbona hukusema mpk umetongozwa?

We bwana acha kujizuga, kama ulitoa kirahisi sasa unajifariji hiyo imeshakula kwako.
 
Nilichojifunza ni kwamba mwanamke asipokukubalia wewe siku ya kwanza au akakuzungusha hata mwaka mzima haina maana anafanya hivyo kwa wanaume wote, wapo anaowakubalia papo kwa papo na kwenda kulala nao muda huohuo. Nilishuhudia mmoja wa rafiki zangu akifukuzia demu kwa zaidi ya miezi mitatu, pamoja na kumuazima demu gari awe anatumia, lakini kwa kipindi chote hicho hakupata kitu. Na ikatokea siku niko na rafiki yangu mwingine tukakutana na huyo demu, mshkaji hajuani na huyo demu, wakaanza kupeana intro akamtongoza cha kushangaza demu kakubali hapohapo ikabidi ni-wa-drop gesti niwaache niendelee na mizunguko niwarudie baadae.
Mi nadhani demu anapokuona kwa mara ya kwanza anakuwa ameshakuweka kwenye ma-group matatu
1)Yes : hapo hata ukiongea pumba unabeba.
2)50/50: hapo inabidi msuli kidooogo.
3)No : akikuweka kwenye NO itabidi utumie nguvu za ziada vinginevyo hupati ng'o.

point taken!
 
Back
Top Bottom