Wanaume, ugumu wa kumuacha mwanamke unatoka wapi?

kanuni yetu haibadilik,hatuwez kuwatamkia ila we ukiona mambo hayaend poa unajitoa tu
 
Wanaume, hebu leo tuwekane wazi kuhusu suala zima la kusitisha mahusiano.

Unakuwa na mpenzi wako, mnaenda poa tu lakini inafika mahala aidha mapenzi yanakufa tu natural death, au unapata mpenzi mwingine, ama tu umechoka kuwa naye lakini kumuacha humuachi.

Mnashindwa wapi kaka zetu au ndo unamuweka tu ili uendelee kula? Kwani ukisitisha mahusiano ndo utashindwa kula? Bora mtu ajue mnakulana tu kiroho safi ila atafute mwingine wa kumpa mapenzi 100% sio wewe unaendelea kumpa 20% yako ili umle.

Sisi wanawake huwa wawazi sana. Mwanamke hata awe mkeo akipata mtu akamuelewa, akakolea wallahi atakujuza tu!(tena inaweza kuwa kwa dharau, haifichiki). Hatuwezagi ficha hisia eti unautesa moyo.

Hivi wanaume mnadhani anayeteseka zaidi ni yupi; yule ambaye anampenda mpenzi wake fully lakini mpenzi analegalega au yule ambaye yuko kwenye uhusiano haridhiki lakini kama zombie tu analazimika kukeep appearances?

Najua kuna watakaouliza “wewe mwanamke si umuache?” Si rahisi hivyo. Mapenzi hupitia phases, kuna wakati yanakuwa high na sometimes low. Sasa mimi naweza kukuchukulia kuwa umenichoka kumbe ni low season tu. Sasa wewe ndiye ujuaye, niweke wazi.

Muwe mnatuacha mkiona mambo si mambo tena bwana. Tuna listi zetu za watu wanatusubiri wawe nasi. Kupeana mapenzi robo robo sio fair kwakweli!

Na hiyo ndio tofauti yenu na sisi.
NOTE: Mwanamke mpumbavu ataivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.
 
Yule dogo wa Tandale anasema akikuchoka atakuchapa matukio mpaka utasepa mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaume, hebu leo tuwekane wazi kuhusu suala zima la kusitisha mahusiano.

Unakuwa na mpenzi wako, mnaenda poa tu lakini inafika mahala aidha mapenzi yanakufa tu natural death, au unapata mpenzi mwingine, ama tu umechoka kuwa naye lakini kumuacha humuachi.

Mnashindwa wapi kaka zetu au ndo unamuweka tu ili uendelee kula? Kwani ukisitisha mahusiano ndo utashindwa kula? Bora mtu ajue mnakulana tu kiroho safi ila atafute mwingine wa kumpa mapenzi 100% sio wewe unaendelea kumpa 20% yako ili umle.

Sisi wanawake huwa wawazi sana. Mwanamke hata awe mkeo akipata mtu akamuelewa, akakolea wallahi atakujuza tu!(tena inaweza kuwa kwa dharau, haifichiki). Hatuwezagi ficha hisia eti unautesa moyo.

Hivi wanaume mnadhani anayeteseka zaidi ni yupi; yule ambaye anampenda mpenzi wake fully lakini mpenzi analegalega au yule ambaye yuko kwenye uhusiano haridhiki lakini kama zombie tu analazimika kukeep appearances?

Najua kuna watakaouliza “wewe mwanamke si umuache?” Si rahisi hivyo. Mapenzi hupitia phases, kuna wakati yanakuwa high na sometimes low. Sasa mimi naweza kukuchukulia kuwa umenichoka kumbe ni low season tu. Sasa wewe ndiye ujuaye, niweke wazi.

Muwe mnatuacha mkiona mambo si mambo tena bwana. Tuna listi zetu za watu wanatusubiri wawe nasi. Kupeana mapenzi robo robo sio fair kwakweli!
Huu muda unalalamika hapa ungechukua mmoja kwenye list nafikiri ingekuwa bora zaidi
 
niliwahi kusema wazi kwa kidemu changu enzi hizo form two aisee dawati lake nilikuta limelowa kama lilinyeshewa mvua kumbe ni machozi nikaajiapiza sitafanya hivyo tena...
 
Huko kwenye 100% hapana aisee mwanamke akioneshwa kupendwa hivyo nadhali utafanya kila aina ya kaz hapo nyumban wakati huo yy yuko mtaani mwisho inafikia ooo jamaa kapewa libwata kumbe kiherehere chako chakuonesha mapenz yotee
 
Nina dem ana mimba yangu (mimba ina mwezi mmoja) Sasa mimi sijawahi kufikilia kumuoa yaani sitaki tu sio kwamba nina dem mwingine maana sina.
Akaniuliza nina mpango gani na yeye maana ndo ivo ana mimba(hapa alikua anataka nimpe ahadi za kumuoa) na hapo nyuma hatukuwahi kuongelea malengo mengi maana mi nlikua napiga tu.

Sasa mimi sinaga mpango wa kuoa na hata ikitokea mpango ukaja ntaoa mwingine tu(sijui atakuwa nani) lakini NAJUA atakuwa sio yeye(huyu mwenye mimba).

Mtoto namtaka na ntalea saivi nachokifanya ni kumpetipeti tuendesawa mimba ikue ifikishe hata miezi sita, saba(hua hazitoki hizi) kumbe mi nina moja kichwani badae ntamuacha maana saivi nikimtibua anaweza akaitoa.

Wale ambao hatutaki kuoa kuwa na mtoto ni kama back up sasa huyu ajiandae tu kuwa singo maza maana hana namna.

Huyo mwanamke anisamehe tu najua sio poa lakini sometimes we do wrong things for the right reasons.
Everything is fair in love and war.
This is WW3
Real love do not exist.
Nani kakudanganya mimba ya miezi hiyo huwa haitoki?
Watu wanatoa anatoka mtoto anahema kabisa na ananyongwa . (OOH Most merciful God, have Mercy on us.)

Na pia miezi hiyo ni hatari , ukimpa stress tuu anajifungua siku si zake, na ni gharama sana kumlea mtoto ambaye hajafikisha siku za kuzaliwa. Na kuna mawili kufa au kupona.

Mweshimu mwanamke aliyekubebea mtoto wako.
 
Mkiambiwa ukweli huwa hamuukubali...so bora mtu apige kimya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom