Wanaume, ugumu wa kumuacha mwanamke unatoka wapi?

Wanaume, ugumu wa kumuacha mwanamke unatoka wapi?

Wanaume hatuwezi kuwaweka wazi nyinyi wadada kwa sababu nyie ni chakula au tunaita kiporo mana simba akikosa nyama ula majani kwa iyo ndivyo ilivyo nyie tunawaweka viporo siku demu mmoja akizingua tunatafuta kiporo ili tule mzigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana, ipo siku nitafungua thread

But kiufupi, nilikua sijawahi kuwa kwenye serious relationship, nilikua naongea na mabinti na kutaniana tu, sikuwahi kuwaelewa vizuri mabinti

Nimekuja kuingia kwenye serious relationship at 27years ambayo ilikua ya kwanza kabisaa na ambayo matokeo yake kwangu yalikua ni kufunga ndoa, uwii nilimpenda yule binti sanaaa sanaa sanaaa, kifupi nilidumbukia mzima mzima

Sikuwa na mchepuko wala nn, nilikata mawasiliiano na mabinti woote ambao niliona wangeweza kua threat kwenye mahusiano yangu, aseee Mapenzi mabaya sanaaaaaa

MWISHO: Bora uendelee kudanganya ivo ivo, maana mwanamke mmoja atakuua kwa stress asee, hapana kabisaaa, sirudii kosaaa tena
 
Ukiwa na side nigga hata asipokupea mapenzi kabisa hakuna tatizo.
 
Kwanini muachane....
Pumzishaneni...

Mkikumbukana fresh...
 
Hapana, ipo siku nitafungua thread

But kiufupi, nilikua sijawahi kuwa kwenye serious relationship, nilikua naongea na mabinti na kutaniana tu, sikuwahi kuwaelewa vizuri mabinti

Nimekuja kuingia kwenye serious relationship at 27years ambayo ilikua ya kwanza kabisaa na ambayo matokeo yake kwangu yalikua ni kufunga ndoa, uwii nilimpenda yule binti sanaaa sanaa sanaaa, kifupi nilidumbukia mzima mzima

Sikuwa na mchepuko wala nn, nilikata mawasiliiano na mabinti woote ambao niliona wangeweza kua threat kwenye mahusiano yangu, aseee Mapenzi mabaya sanaaaaaa

MWISHO: Bora uendelee kudanganya ivo ivo, maana mwanamke mmoja atakuua kwa stress asee, hapana kabisaaa, sirudii kosaaa tena
[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole aisee mkuu ndyo ukweli uwoo kuishi na mwanamke mmoja na akajua kua unampenda sana aisee unajipalia mateso bila chuki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina dem ana mimba yangu (mimba ina mwezi mmoja) Sasa mimi sijawahi kufikilia kumuoa yaani sitaki tu sio kwamba nina dem mwingine maana sina.
Akaniuliza nina mpango gani na yeye maana ndo ivo ana mimba(hapa alikua anataka nimpe ahadi za kumuoa) na hapo nyuma hatukuwahi kuongelea malengo mengi maana mi nlikua napiga tu.

Sasa mimi sinaga mpango wa kuoa na hata ikitokea mpango ukaja ntaoa mwingine tu(sijui atakuwa nani) lakini NAJUA atakuwa sio yeye(huyu mwenye mimba).

Mtoto namtaka na ntalea saivi nachokifanya ni kumpetipeti tuendesawa mimba ikue ifikishe hata miezi sita, saba(hua hazitoki hizi) kumbe mi nina moja kichwani badae ntamuacha maana saivi nikimtibua anaweza akaitoa.

Wale ambao hatutaki kuoa kuwa na mtoto ni kama back up sasa huyu ajiandae tu kuwa singo maza maana hana namna.

Huyo mwanamke anisamehe tu najua sio poa lakini sometimes we do wrong things for the right reasons.
Everything is fair in love and war.
This is WW3
Real love do not exist.
 
Nina dem ana mimba yangu (mimba ina mwezi mmoja) Sasa mimi sijawahi kufikilia kumuoa yaani sitaki tu sio kwamba nina dem mwingine maana sina.
Akaniuliza nina mpango gani na yeye maana ndo ivo ana mimba(hapa alikua anataka nimpe ahadi za kumuoa) na hapo nyuma hatukuwahi kuongelea malengo mengi maana mi nlikua napiga tu.

Sasa mimi sinaga mpango wa kuoa na hata ikitokea mpango ukaja natoa mwingine tu(sijui atakuwa nani) lakini sio yeye(huyu mwenye mimba).

Mtoto namtaka na ntalea saivi nachokifanya ni kumpetipeti tuendesawa mimba ikue ifikishe hata miezi sita, saba kumbe mi nina moja kichwani badae ntamuacha maana saivi nikimtibua anaweza akaitoa.

Wale ambao hatutaki kuoa kuwa na mtoto ni kama back up sasa huyu ajiandae tu kuwa singo maza,

Huyo mwanamke anisamehe tu najua sio poa lakini sometimes we do wrong things for the right reasons.
Everything is fair in love and war.
This is WW3
Real love do not exist.

Daahhhh sijui kwa kweli, sina la kusema
 
Huwa hatupendi kuwaambia nimekuacha sasa nikipata staili mpya naenda kuijaribishia wapi kuanza upya kwa mwingine hapana

Naitest kwanza ndo naenda kwa mupya hahahah wanaume akili zetu tunazo siye tu
 
Pole mimi hata nikikutana na demu wangu wa kitambo naomba mzigo nakula kama kama ni mwendo wa kupasha vipolo kwa makoloni yetu
 
Huwa ni hatari kumuambia mtu uliyedumunaye muda mrefu sikutaki,unaweza kusababisha kifo; inabidi kupunguza upendo ili mtu ajiongeze
 
Kuna kidume huyo hadi kishakua kama zombi mi naona kaachwa ila hakubali kuachika nmebaki tu kumshauri vumilia ndio mapenzi ila kawa zombi kwaweli
 
Umeusema ukweli mtu humuhitaji tena ya nini kuweka kausiku!!!!
Wanaume ni waroho unakuta hakutaki tena lakini bado kukuacha anaona ngumu

Wapende kwa akili tu hawa my dear ukiweka hisia utalia kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
Actually sis wanaume ndio tunapaswa kuwapenda akil sana.Nyie viumbe hamna tofauti na kimbunga keneth.Dakika 2 mbele hamkawii kuyazua ndo maana tunawaweka viporo..mwanamke hawez kupenda kwa akil zaid ya kutumia hisia.Ni mwanaume tu ana uwezo wa kutumia akil kwenye mapenzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom