Wanaume, ugumu wa kumuacha mwanamke unatoka wapi?

Wanaume, ugumu wa kumuacha mwanamke unatoka wapi?

Kuna kipindi ujanani niliwapanga watatu, ikafikia mda nikaona naumia kuwa nao wote, ila nilishindwa kuacha walau mmoja wao. Unaweza kupata jibu hapo kwa nini ilikuwa ngumu kuacha walau mmoja nikabaki na wawili...
 
Wanaume, hebu leo tuwekane wazi kuhusu suala zima la kusitisha mahusiano.

Unakuwa na mpenzi wako, mnaenda poa tu lakini inafika mahala aidha mapenzi yanakufa tu natural death, au unapata mpenzi mwingine, ama tu umechoka kuwa naye lakini kumuacha humuachi.

Mnashindwa wapi kaka zetu au ndo unamuweka tu ili uendelee kula? Kwani ukisitisha mahusiano ndo utashindwa kula? Bora mtu ajue mnakulana tu kiroho safi ila atafute mwingine wa kumpa mapenzi 100% sio wewe unaendelea kumpa 20% yako ili umle.

Sisi wanawake huwa wawazi sana. Mwanamke hata awe mkeo akipata mtu akamuelewa, akakolea wallahi atakujuza tu!(tena inaweza kuwa kwa dharau, haifichiki). Hatuwezagi ficha hisia eti unautesa moyo.

Hivi wanaume mnadhani anayeteseka zaidi ni yupi; yule ambaye anampenda mpenzi wake fully lakini mpenzi analegalega au yule ambaye yuko kwenye uhusiano haridhiki lakini kama zombie tu analazimika kukeep appearances?

Najua kuna watakaouliza “wewe mwanamke si umuache?” Si rahisi hivyo. Mapenzi hupitia phases, kuna wakati yanakuwa high na sometimes low. Sasa mimi naweza kukuchukulia kuwa umenichoka kumbe ni low season tu. Sasa wewe ndiye ujuaye, niweke wazi.

Muwe mnatuacha mkiona mambo si mambo tena bwana. Tuna listi zetu za watu wanatusubiri wawe nasi. Kupeana mapenzi robo robo sio fair kwakweli!
Hahahahahaahhahaahah naunga mkono hoja .....tena napigia misumari kabisaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa tunaweza kuacha lakini usisahau wanawake tu wavumilivu sana. Badala ya kucheza na uvumilivu wa mwenzio kwanini usimwambie tu nimeshashindwa?
kwanza wanawake wenye list ndefu ya watu wakuwa nao hawana uvumilivu hata kidogo, sasa wewe huo uvumilivu unautoa wapi na umesema una list?
 
Kuna kipindi ujanani niliwapanga watatu, ikafikia mda nikaona naumia kuwa nao wote, ila nilishindwa kuacha walau mmoja wao. Unaweza kupata jibu hapo kwa nini ilikuwa ngumu kuacha walau mmoja nikabaki na wawili...
@Raynavero
 
100% ninayozungumzia hapa ni 100% ya mapenzi unayoweza kutoa ambayo mwanzo wa mahusiano yetu ulinipa. Sasa unapopunguza hadi 20% kimya kimya unanipa ujumbe gani?

Why usiseme tu mtu mzima mwenzio nikakuelewa?
Haiko hivyo queen! Hata mazowea tu ni factor ya msingi kupunguza achilia mbali majukumu. Hata shati hatununui kila siku!kuna kufua kushona nk.!sembuse mapenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kipindi ujanani niliwapanga watatu, ikafikia mda nikaona naumia kuwa nao wote, ila nilishindwa kuacha walau mmoja wao. Unaweza kupata jibu hapo kwa nini ilikuwa ngumu kuacha walau mmoja nikabaki na wawili...
Wote walikua na something special uniqueness characters that's why ila wanawake hatuewezi hizo mambo!!;

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote walikua na something special uniqueness characters that's why ila wanawake hatuewezi hizo mambo!!;

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah, Kila mmoja alikuwa na kitu special, ukienda huku unapata utamu hadi unachanganyikiwa, ukienda kule she cares for you hadi raha.

Ila stress yake sio ya kitoto, jinsi ya kuwapanga...
 
Hahahaaaa!!wanaume huwaga wanaweza kuwaga mapenzi ila si wanawake...yaani hao hapo kila mmoja alikua anajiona thee chosen one...kumbe humu wewe stress tupu!!!

Acha kabisa, stress yake unaona bora uwekeze kwenye mambo ya msingi kuliko kupoteza nguvu kukojozana.

Ila hata nyie siku hizi hampo nyuma aisee, mnatuoanga hata kumi[emoji23][emoji23]
 
Intelligent man never leave a woman, but a stupid woman leaves a man
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom