Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

giphy.gif

Mdada huwa tunabishanaga humu,ila mwenzetu unaenda extreme...tatizo ni nini ndugu?...
 
Yani huachi tu kunitukana mlifikiri nitachange I'd poleni Sana, hafu acha kunitukana jiheshimu na mind ur bussiness
Hata ukichange id unajulikana tu kwan nini kinabadilika na wewe huwa unaonekana hata kwa mtu asiyejua jina lako.

Shida ni character, upo toxic..... And hapana sikutukani nazungumza lugha yako ambayo umechagua kuongea ya matusi. So ghafla imekuwa ni matusi now ndio unajua?!
 
Mimi sitachange I'm here to stay so don't worry kwa hilo huku nimekutana na wengi just normal friends huwa siohopi kuandika ninachofikiria so hata muweke uchi wa ku edit I'm here to stay, you can't silence me in that way.
 
Mark this ID, next time mwanamke akianza attacked na watoto wa humu,itakuwepo!!!!, talking about toxic person?!?
 
Dah just report comments yoyote yenye matusi, some people will hate you without knowing you
Sasa unataka ugomvi then unakimbilia kwa moderator kuomba msaada, wots the problem, are u afraid to play dirty with boys.....?!
 
Umeacha kutukana my dear au tuendelee na huu uzi ufungwe??
Umeona kule juu, anamwambia muungwana m'moja kuwa kukiwa na comment ya matusi then akareport. Sasa kumbe hakawezi maneno machafu why kanayatumia kwa wenzake.... Si kalikuwa kasema kamedhibiti waliokuwa wanakajibu......?!
 
Hahaaa nitatoa terms bilions moja so don't worry kabisa na ubaya wangu wa ngiri hilo nimeshasikia still commenting ur expectation has failed pole Sana eeh
So utoe terms kwa nani labda.... I mean who can listen to a depressed female?!
 
Sasa unataka ugomvi then unakimbilia kwa moderator kuomba msaada, wots the problem, are u afraid to play dirty with boys.....?!
I'm not afraid anyone here ni matter ya argument personal matter na identity za mtu ni against JF rules so huo ni u childish, mnakuwa ka si wanaume
 
Back
Top Bottom