Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

siwezi nikadate na mwanamke 27+ otherwise awe amekubaliana na mimi kwamba sitomuoa so we are just dating for fun.mimi mpango wangi Ni kuoa ni binti mdogo bikra ikiwezekana tena hata under 18 maana sheria inaruhusu
 
Take it easy! Maisha ni zaidi ya ndoa.
Mtu hujiona loser anapoanza kujilinganisha na wengine kwa lengo la kuendana na matarajio ya jamii.

Kuna wanawake wengi mf. H.Mdee au Fatuma Karume ambao hawajaolewa wala kuwa na watoto lkn wameyafanyia maisha yao mambo ya maana na wanayafurahia....self-awerenes is the key.

However, sexually any woman beyond 30 is retired.
Hakuna kitu kama nafikiri hao uliotaja hawajaolewa kwa sababu mbalimbali, lakini hakuna mwanamke asiyependa kuolewa na ambao wanafikisha umri mkubwa hawajaolewa ndani ya mioyo yao wanaregret.
 
Wadada wengi siku hizi haswa walio fika miaka 27 na kuendelea wanakuwa ni waoga sana wa kuachwa na uwoga wa maisha. Kiufupi wana kuwa desperate kiasi fulani.

Tusidanganyane ndoa kwa mwanamke ni kitu kikubwa sana. Kina mpa heshima katika jamii. Mwanamke anaye fika hadi umri wa miaka 30 bila ya kuolewa anaonekana kama alikuwa anauchezea ujana wake kwa kubadilisha wanaume. Ambao kwa namna moja au nyengine ina ukweli fulani.

Ushauri kwa vijana wenzangu tuwe makini sana kudate na hawa wanawake. Kama kweli umempenda kwa dhati basi vizuri lakini kama unapita tu bora umwambie ukweli. Wanawake wa rika hili wana kiu ya ndoa na kupata mtoto kwa hali ya juu.

Sisemi kwamba mwanamke anaye kuwa na 27+ kisa haja olewa ni mbaya hapana. Tena wengi wao wanakuwa ni watoto wa kishua, wanapesa zao na elimu zao. Swali linakuja nani ATAMFUNGA PAKA KENGELE. Maana itakuwa kama wewe ndo unaolewa sasa.

Ukidate na mwanamke wa umri wa 27+ kuwa makini haswa kama kwenu mko vizuri, hapo naongelea mwanamke kama anatokea familia ya chini au kawaida. Kama hutamzawadia mimba basi ndoa. Jipange kwa hayo mawili. Ukisema una test kama wamo au hawamo jua fika unajitafutia matatizo.

Kama hauko tayari kuingia kwenye ndoa au kupata mtoto kaa mbali na wanawake wenye umri unaokaribia 30. Utanishukuru baadae.
Asante kwa ushauri
 
Sijui kwanini sikuhizi nikisoma nyuzi humu naona kabisa nadanganywa na natofautiana nazo.

Kuna mawili labda nyie wenzangu mnazidi kuwa wajinga au mimi ndiye nazidi kuwa mjinga.

Yaani kweli wanawake 27+ ambao hawajaolewa wengi wao wao ni watoto wa kishua???
 
Upo sahihi mkuu sema Mwanamke wakibongo aje afike 27 anakua kashaisha kwa vipodozi vya Bei Rahisi na stress za Maisha na wengi washakuwa singo Mama

Hizi namba ni kwa ajili ya Game

Mimi ntapambana sana nipate mtoto wa 2006 sitozid hapo
 
Upo sahihi mkuu sema Mwanamke wakibongo aje afike 27 anakua kashaisha kwa vipodozi vya Bei Rahisi na stress za Maisha na wengi washakuwa singo Mama

Hizi namba ni kwa ajili ya Game

Mimi ntapambana sana nipate mtoto wa 2006 sitozid hapo
DR HAYA LAND Mwanamke mwenye 27 anaonekana kama umri umekwenda sana? Mtoto wa 2006 anaweza kudate na mwanaume hadi wa Rika gani wakaendana?
 
Back
Top Bottom