Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Nasema ninachokiishi. I am a living testimony.

I am well educated and am married too with two kids.

Nisichokitaka Ni Hawa mabinti waweke ndoto zao pembeni kisa wanakimbilia ndoa na hivyo kuishia kuwa tegemezi na hatimae kunyanyasika sababu hawana A Wala B.
so mwanamke akiwa na pesa hawezi kuny
anyasika ndani ya ndoa? manyanyaso gani hayo unayasema?
 
Inawezekana ni mm peke yangu ndio sijamuelewa vizuri mleta mada; naona wadada wengi walio 27+ wanatoa mapovu ila binafsi naona km mtoa mada kawapa credit hawa wadada na hakuwaponda kama anavyoshambuliwa...naweza kuwa siko sahihi ila kwa kifupi nimeelewa kwamba wadada wa umri huu yani ni vigumu sana kuchezewa ni watu ambao huwa na misimamo na huhitaji wanaume walio serious wa kuanzisha nao familia,sijui nimewaza vema?
mtoa maada kasema kama huna lengo la kuwa na serious relationship/ndoa basi usidate na mwanamke wa 27+.sasa nashangaa hawa mademu wanamwaga povu naona wana stress au kujishtukia labda
 
Mbona hii imebase kwenye hisia zenu za kutokujiami maana huo umri ungekuwa tatizo ungekuta mada za wadada kulia Lia huku kuhusu kuchezea, but instead mada nyingi za watu humu kulia Lia ni wanaume wameumizwa, so instead ya wanaume kujifanya kutuonea huruma wanawake ajuza hatuolewi huo mda mnge invest kwenye kuboresha uchumi wenu na maisha yenu sisi wanawake tumeamka tunafanya kazi kwa bidii, so better improve ur mental health and ur insecurities towards women's maana you can't change anything imagine mwanaume unaumizwa na wanawake Mimi naona Kuna shida
kuna dada humu alikuja kulalamika alikuwa ana 28 kuna mtu akampotezea muda miaka 3.in reality wanawake ndo walalamikaji wakubwa katika mahusiano mara waseme wanaume wana tamaa mara wanaume wa kiafrika hawajui kupenda n.k saizi wametengeneza hadi kipindi chao Cha women matters
 
Si kweli mada nyingi humu za mahusiano ni wanaume plus stress za life ni common Sana, seems mahusiano wanaume ni victim wakubwa
 
kuumizwa ni kawaida. There is No free travel in this voyage.
Men lie, women lie. ila wanaume wengi sie huwa hatupendi kuibiwa kabisa ila sie tunapenda kuiba. Siujua tena mwizi hapendi kuibiwa that's why wanaume utakuta tunalalamika Unajua kwa nini tunapenda kuiba (ku-cheat) na hatupendi kuibiwa???? Simply because, By default men are polygamous.. i know it sounds so silly but that is how men are. Monogamist alikuwa Adam kwa Eve wake.
Sasa kwa dunia huu kutaka mwenzi wa kwako tu impossible na hyo wanaume kuwa polygamous huwa ni kujihalalishia tu in short we women's like different taste of people since watu hutofautiana, mie mwenyewe siwezi mind mtu wangu kisa cheating coz na mie napenda vya tofauti, that's why napenda mahusiano ya kupeana nafasi na sio yakutaka kumilikiana
 
huwezi kukasirika mtu akicheat??? wewe mwanamke wa kipekee sana
 
Nilikuuliza hizo ndoto ni zipi na zinachukua muda gani kufanikisha for a reason. We kama mwanamke ukiwa ambitious na big dreams ambazo kuzifanikisha kwake ni mpaka ukiwa above 30s ndio uolewe you'll be on the loosing side lady, why?

Inajulikana women marry up(hypergammy) and men marry down, let's assume upo early 30s umeshafanikisha ndoto zako, utaangalia washkaji wa mid 30s kwenda juu ambao wameachieve financial security unayoitaka, mind you kuanzia mid 30s mwanaume na yeye anakuwa kwenye prime, if his finances are in place and he's taking good care of himself physically. Kwa iyo unataka kuniambia huyu mwanaume ambaye sasa he's spoiled with choices when it comes to women due to his financial position ikifika kwenye suala la ndoa atakuchugua wewe uliyezaliwa 80s huko na kuwaacha wadogo zako wabichi wenye natural beauty wanaocheza btn 18-25.

Madhumuni ya wengi kuingia kwenye ndoa ni procreation, hivi unajua wanawake wakifika miaka 30 chances za kupata mimba on the first trial zinapungua tofauti na hawa walio on their 20s, na umri unavyozidi kwenda juu kunakuwa na chances kubwa ya kuzaa watoto wenye disabilities.

To begin with, they will not be on the losing side. They have to be humble and submissive and their careers should lean on assisting the husband to take care of the family.

If I get married and I have my property, say land, a house or cars how is that detrimental to the well being of my marriage?

Manyanyaso unaweza kuyapata Sana lakini Ile dhana ya kwamba huwezi ondoka because huna A Wala B haitakuwepo.

A woman having her own money is insurance against unforeseen circumstances that may or may not arise from marriage.

Kuhusu ndoto, each woman or even man has her own dreams. I dreamt of so many material things and to travel wide but I also dreamt of getting married to a tall dark guy with a tummy and have many kids. At least 7. 😆😆🤫🤫
Thank You.

A woman putting marriage on the side mpaka afanikishe ndoto zake ndio aolewe na tuna assume ndoto zenyewe atazifanikisha on her 30s bila ya kufikiria worst case scenario ambapo those dreams takes forever to come into fruition or are never accomplished it's a very very risky move with very high chances for her to be on the losing side.

Kumbuka, linapokuja suala la ndoa, men are the gatekeepers to marriage. Ni vizuri wanawake wenye above 30s waliofanikisha ndoto zao na wanapata tabu kuolewa wakajaribu kujua wanaume wanaangalia nini wanapochagua wenza ili baadae wasiishie kulaumu kwamba men are intimidated by women success or strong women, hey inawezekana tatizo halipo kwa wanaume ila kwako wewe and that's why they're not picking you.

Sijui kwa nini wanawake wengi wanaamini kwamba wakiwa na mali au high paying jobs itakuwa rahisi kwao kupata their dream husbands who will never do them any wrong only to be disappointed later on in life after achieving their career or financial success but failing to keep a man or worse being forced to date down. Kwa kifupi ladies a man who got his life going on doesn't care about your money, ila kwa marioo au mwanaume anayetafuta mwanamke Wa kusaidiana naye maisha, you having money will be on top of his list if not a deal breaker.

Dhumuni la kuingia kwenye ndoa ni kuzaliana na kuijaza dunia, tafiti tayari zipo zinaonyesha wanawake wakifika 30s chances za kupata mimba on first trial zinapungua na umri unavyozidi kwenda juu ndio chances za mimba zinavyozidi kupungua na chances za kuzaa watoto wenye disabilities zinaongezeka compared to girls on their 20s who have high pregnancy chances on first trial, knowing all thes e biological risks, kwa nini nihangaike na wanawake waliozaliwa 80s huko badala ya wadogo zao wenye natural beauty anizalie watoto wangu 7, tusafiri dunia and enjoy this gift called life.

Mind you am all in when it comes to people(both men and women) pursuing their dreams and becoming the best versions of themselves.
 
Si kweli mada nyingi humu za mahusiano ni wanaume plus stress za life ni common Sana, seems mahusiano wanaume ni victim wakubwa
Men lie, Women lie. Wote ni victims, ila kwenye jamii kiujumla wanawake ndo victims wakubwa.
That's why vipo vyama kibao vya kusaidia wanawake victims wa ndoa na mahusiano.
Na ni kawaida sana, kila relationship inayoenda kombo kila mtu humuona mwenzie kama ndo tatizo la break up. Sababu binadamu sie ni ngumu sana kuona mapungufu yetu wenyewe.
 
Back
Top Bottom