Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Pia kaa mbali na mwanamke ambae aliolewa kisha akaachana na mmewe, tena awe kwenye 30-45.

Usicheze kabisa na hisia zake, akikupenda amekupenda kweli.

Ndoa ni kitu kingine kabisa kwa hii jinsia aiseee.
Umeona eennh?.
 
Wadada wengi siku hizi haswa walio fika miaka 27 na kuendelea wanakuwa ni waoga sana wa kuachwa na uwoga wa maisha. Kiufupi wana kuwa desperate kiasi fulani.

Tusidanganyane ndoa kwa mwanamke ni kitu kikubwa sana. Kina mpa heshima katika jamii. Mwanamke anaye fika hadi umri wa miaka 30 bila ya kuolewa anaonekana kama alikuwa anauchezea ujana wake kwa kubadilisha wanaume. Ambao kwa namna moja au nyengine ina ukweli fulani.

Ushauri kwa vijana wenzangu tuwe makini sana kudate na hawa wanawake. Kama kweli umempenda kwa dhati basi vizuri lakini kama unapita tu bora umwambie ukweli. Wanawake wa rika hili wana kiu ya ndoa na kupata mtoto kwa hali ya juu.

Sisemi kwamba mwanamke anaye kuwa na 27+ kisa haja olewa ni mbaya hapana. Tena wengi wao wanakuwa ni watoto wa kishua, wanapesa zao na elimu zao. Swali linakuja nani ATAMFUNGA PAKA KENGELE. Maana itakuwa kama wewe ndo unaolewa sasa.

Ukidate na mwanamke wa umri wa 27+ kuwa makini haswa kama kwenu mko vizuri, hapo naongelea mwanamke kama anatokea familia ya chini au kawaida. Kama hutamzawadia mimba basi ndoa. Jipange kwa hayo mawili. Ukisema una test kama wamo au hawamo jua fika unajitafutia matatizo.

Kama hauko tayari kuingia kwenye ndoa au kupata mtoto kaa mbali na wanawake wenye umri unaokaribia 30. Utanishukuru baadae.
naam
 
Naunga mkono hoja zote zilizoletwa kwenye uzi huu hususani zile zenye lengo la kuwalinda wadogo zetu kama Cariha na wengineo dhidi ya mafisi
 
Ndio matumizi hayo ya k kutumika unafikiria iliwekwa urembo, na ninaitumia vizuri kwelikweli nikiacha bila matumizi yaweza kupata uvundo

Halaaaahaaaalah!
IMG_8532.JPG
 
Back
Top Bottom