Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Last born mwenzako kesho anasafiri, sasa kwavile madingi wanaishi mbali na main road wakati anatakiwa kuondoka alfajiri; basi kanipigia kwamba anakuja kulala home!!!

Nimemwambia ashibe kwao huko huko kwa sababu there's no way naweza kupinda mgongo eti nimpikie yeye dume zima lisiloweza kutengeneza hata tambi!
Whoooi
First born una roho ngumu namna hiyo!???
Embu mpikie mtoto mziwanda jamani
 
@Saint Anne ni Last Born basi anadeka huyo balaa... sa' nikadhani na wewe ni LB kama yeye!!
Hahaha
Yeye amebaki humu kwa sababu za comments zangu za majadiliano huko juu.

Hii la u1st born na uziwanda anaishangaa,haijui maana sisi tumetoka nayo kuleee
 
Seems like your mindset is still in the Stone Age Era. Let me break it down for you.

Wanawake siku hizi tumeelimika. Tunaenda na kasi ya maisha. Akili zetu zipo kimaendeleo zaidi. Tuna focus kwenye elimu, biashara na ajira ili kujiingizia kipato maisha yaende.

Bado tunapenda na kuheshimu ndoa, lakini Ni muhimu tuingie kwenye ndoa tukiwa na maisha yetu, na hela zetu. Hata tukiingia na kibanda chetu na kiusafiri Kuna tatizo kwani?

Kulewa na kuzaa kupo tu. Tusake maisha kwanza.
K kuna kitu nakifanyia utafiti kikikamilika nitaleta uzi. Kwa namna Fulani mleta uzi Yuko sahihi na upande mwingine hayuko sahihi.
 
Umeumizwa tu wewe sasa swala la umri ni kitu chakujadili kweli maana kiumbe kilichozaliwa kuongezeka miaka ni kawaida Sana, wanaume maisha yakiwashinda huko mnakuja huku kukashifu na hyo bado haiwaondolei stress plus depression daily kulia Lia humu kuhusu wanawake, msitufokee na mapungufu yenu tafadhali
Hakuna kitu wanawake wanachoogopa kama namba (za umri)
 
Seems like your mindset is still in the Stone Age Era. Let me break it down for you.

Wanawake siku hizi tumeelimika. Tunaenda na kasi ya maisha. Akili zetu zipo kimaendeleo zaidi. Tuna focus kwenye elimu, biashara na ajira ili kujiingizia kipato maisha yaende.

Bado tunapenda na kuheshimu ndoa, lakini Ni muhimu tuingie kwenye ndoa tukiwa na maisha yetu, na hela zetu. Hata tukiingia na kibanda chetu na kiusafiri Kuna tatizo kwani?

Kulewa na kuzaa kupo tu. Tusake maisha kwanza.
Maishaa bongoo
 
Back
Top Bottom