Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 348
- 546
Salaam kwenu wajomba na ma shangazi,
Ujumbe huu uwafikie wanaume wote wawe ni wa Dar au ni wa wapi uko. Wanaume tuache kupenda mteremko, tuache tamaa za kutaka wanawake warembo kirahisi rahisi tu.
Wanawake wote ni wazuri, wanatofautina matunzo tu. Sasa wewe hutoi hela kwa mke/mpenzi wako halafu unataka awe hot! huo u hot atuoe wapi? Mwishowe unaanza kumangamanga kutafuta wake na mademu za watu amabao waume zao wamewagharimikia. Aise acha huo ujinga.
Mtengeneze mke/mpenzi wako uone manyang'au yatakovyomtolea macho. Vizuri Vimegharamiwa. I repeat beauty is expensive!