Wanaume, tuwapunguzie watoto wakike maumivu.Nao wana moyo

Hatari sana....
Hapo kale kuna Chibonge moja iliniletea hizo, sumbufu hata muda wa kazi, yaani utadhani alikuwa hana kazi, nikamkazia kama Davie, siku mbili baadae Nikula Mitusi mikubwa mikubwa, nikawa nacheka tu. Akapiga kimya wiki kadhaa hivi, akarudi tena na hizo Maneno, Tutukanane kama watoto. Dada anajifunza mapicha picha ya mapenzi.
 
Huwa inachukua muda kiasi na gharama kiasi kumtongoza mtoto mzuri na kuja kufanikiwa kumuweka mikononi...

Mara nyingi tukishawaweka chini ya himaya zetu, tunawachukulia poa...hatuwapi tena attention ya kutosha..
Kumbuka ulipomtongoza, pengine alimuacha jamaa yake anayempenda akaja kwako, kisa ulikuwa na swaga za kishua na za kibabe.

Please men, tusiwe kama DAVIE hapa..
Hawa watoto wazuri nao wana mioyo ya nyama..
Machozi yao yatakuwa laana kwetu, halafu tutateseka..

Nawapenda sana wanawake..
View attachment 1177856
Dhambi ya usaliti wameileta wenyewe duniani wacha iwatafune..!
 
Huwa inachukua muda kiasi na gharama kiasi kumtongoza mtoto mzuri na kuja kufanikiwa kumuweka mikononi...

Mara nyingi tukishawaweka chini ya himaya zetu, tunawachukulia poa...hatuwapi tena attention ya kutosha..
Kumbuka ulipomtongoza, pengine alimuacha jamaa yake anayempenda akaja kwako, kisa ulikuwa na swaga za kishua na za kibabe.

Please men, tusiwe kama DAVIE hapa..
Hawa watoto wazuri nao wana mioyo ya nyama..
Machozi yao yatakuwa laana kwetu, halafu tutateseka..

Nawapenda sana wanawake..
View attachment 1177856
Msg za uchochezi hizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom