Wanaume, tuwapunguzie watoto wakike maumivu.Nao wana moyo

ukipata mwanamke wa kumtesa mtese.maana ikifika zamu yako ni mateso makubwa
Ujue kwamba kwa kila mwanamke utaemtesa ndio miaka yako ya mateso katika mapenzi. kikuu watu hawako kamili. Pale unapumizwa samehe na endelea na maisah yako hamna kitachokusumbua.. ukiwa kila siku unaumizwa wewe tu basi wewe ndo una shida. usitese watoto wa watu adhabu yako ni mpaka kizazi na kizazi....
 
wanawake wa sasa wana waza hela.kama huna watakutesa.
Leo na Mimi nawatesa wao.
Siamini kama wananipenda bali wanapendea sent zangu Tu.

Nikuambie hamna mwanamke amba hawazi pesa, hata mama yako kuwa na baba yako alipima je anaweza kunilea mimi na watoto? kikuu angalia ambae unayemmudu ukiwafuata ambao huwamudu utaishia kuumizwa kila siku ndugu. Kama unaona mtu hakupendi achana nae, na usiweke pesa mbele wakati unamtafuta, jifanye boya...utapata wa uhakika
 
Konki
 
Tatizo la sanaa ya mapenzi ni moja tu.
Tangia dunia iumbwe, hakuna mizani ya mapenzi iliyobalansi hata siku1!
Kati ya Ke na Me wanapoanzisha mahusiano ya kimapenzi, kwenye mizani ya upendo, mmoja lazima awe juu na mwingine chini.

Sms za huyo mwanamke, wala hatanii, anausemea moyo.
Hapo hana wa kumsapoti wala kumpunguzia maumivu, sanasana anaongezewa tu kwa sanifu, kifupi hapendwi!

Kupenda, kulia, sijui kutokula na makorokocho mengine, haongopi, anausemea moyo wake, aliyafanya.

Sasa njemba hapo inavimba bichwa kwa kutukuzwa ikiamini kwamba hizo sifa adhimu anazomwagiwa ana haki miliki nazo na wala haijali kumaintain saikolojia ya mwenzake, ipo mkula mafenesi tu!

Jamaa huyo huyo naye anaweza kukutana na mwanamke, akanasa kwenye tundu bovu na akafanywa mtumwa vilevile!

Ni kutesa kwa zamu na mapenzi ndivyo yalivyo.
 
huyo mdada nae..eti sili nakonda kwa ajili yako...tehee teheee
Mkuu usijisifu na kujiona mwamba, haujapata.

Tena haijalishi haiba ya huyo mtu. Sazingine hana uwezo wa kipesa hata mapenzi hajui.

Vyovyote ulivyojiweka, hata kama wewe ni mpenda pesa vipi, hata kama ulishatendwa huko nyuma na kisha ukajiapiza kutokuja kupenda tena, yaani haijalishi.

Nikwambie, lazima itakuja kukutokea tu, labda uwe unasali sana kumuomba Mungu akuepushe, au ufe mapema, ndipo unaweza kuliepuka hilo balaa.

Tatizo unapompenda mtu kwa dhati, lazima ufunguke. Na ndipo hapo utakapoanza kumhonga chochote na huku nafsi ikikusuta na kujiona haujamridhisha.

Vya sirini na dhahiri, vyote utavitoa kwa hiari yako lakini moyo utaona haujamridhisha.

Ukifikia katika level hiyo, ndiyo hapo sasa utapoanza kumuungamia upendo wako wote kwake na kumuhakikishia bila yeye wewe hauwezi kuishi na akikuacha bora ujiue!
Yasikiage tu kwa wenziyo.
 
Tatizo la sanaa ya mapenzi ni moja tu.
Tangia dunia iumbwe, hakuna mizani ya mapenzi iliyobalansi hata siku1!
Kati ya Ke na Me wanapoanzisha mahusiano ya kimapenzi, kwenye mizani ya upendo, mmoja lazima awe juu na mwingine chini.

Sms za huyo mwanamke, wala hatanii, anausemea moyo.
Hapo hana wa kumsapoti wala kumpunguzia maumivu, sanasana anaongezewa tu kwa sanifu, kifupi hapendwi!

Kupenda, kulia, sijui kutokula na makorokocho mengine, haongopi, anausemea moyo wake, aliyafanya.

Sasa njemba hapo inavimba bichwa kwa kutukuzwa ikiamini kwamba hizo sifa adhimu anazomwagiwa ana haki miliki nazo na wala haijali kumaintain saikolojia ya mwenzake, ipo mkula mafenesi tu!

Jamaa huyo huyo naye anaweza kukutana na mwanamke, akanasa kwenye tundu bovu na akafanywa mtumwa vilevile!

Ni kutesa kwa zamu na mapenzi ndivyo yalivyo.
Point nzuri
....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom