Wanaume, tuwapunguzie watoto wakike maumivu.Nao wana moyo

Huwa inachukua muda kiasi na gharama kiasi kumtongoza mtoto mzuri na kuja kufanikiwa kumuweka mikononi...

Mara nyingi tukishawaweka chini ya himaya zetu, tunawachukulia poa...hatuwapi tena attention ya kutosha..
Kumbuka ulipomtongoza, pengine alimuacha jamaa yake anayempenda akaja kwako, kisa ulikuwa na swaga za kishua na za kibabe.

Please men, tusiwe kama DAVIE hapa..
Hawa watoto wazuri nao wana mioyo ya nyama..
Machozi yao yatakuwa laana kwetu, halafu tutateseka..

Nawapenda sana wanawake..
View attachment 1177856
Hahaha mafenesi yanaongeza uzito
 
Kwanini umebase upande umoja wakati kila mtu anaumia ina mana kwamba huyo jamaa aliyeachwa na dem yeye haumii inaumiza sana dem akikuacha hauna kitu then akaenda kwa jamaa mweny hela ni bora uachwe na dem upo vizuri kimaisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom