Ni kweli kabsa, mfano mimi demu wangu nimemdanganya kua mimi CHADEMA, kumbe ni mjumbe wa UVCCM, siku akijua nitamipa mrejesho humu.
We mzalamo wanapo zungumza wanaume kaa kimyaaaaaaWe wadanganye wenzio tu kwamba mwanamke ni mwepesi wa kusahau.
Kwa taarifa yenu tunawajua sana ila saa nyingine tunapotezea kwa sababu ipo siku ukweli lazima utajulikana tu.
SiSI TUNAWADANGANYA ILA WAO WANATUAMBIA UONGO.
Kudanganya: oooh baby, leo nimechoka kweli, nilikuwa job ndo maana nimechelewa kurudi. (Hapa kumbe ulikuwa kwa mchepuko wake).
Kusema uongo: baby huyu kichanga anafanana sana na wewe, ebu mcheki macho yake yaani kama yako. ( Kumbe ni mtoto wa mwanaume mwingine na yeye anajua).
Huko sio kudanganya jamani huo ni usaliti mi cjasema tuwasaliti wake zetu nielewekeeAtakuambia mtoto mnafanana hadi migongo wakati wa kwako hujawahi hata kuuona....
Hahaahaa. Msukuma una visa duuhWe mzalamo wanapo zungumza wanaume kaa kimyaaaaaa