Wanaume tuwadanganye sana wanawake

We wadanganye wenzio tu kwamba mwanamke ni mwepesi wa kusahau.

Kwa taarifa yenu tunawajua sana ila saa nyingine tunapotezea kwa sababu ipo siku ukweli lazima utajulikana tu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni kweli kabsa, mfano mimi demu wangu nimemdanganya kua mimi CHADEMA, kumbe ni mjumbe wa UVCCM, siku akijua nitamipa mrejesho humu.
 
To be too honest is a dangerous thing tafadhali zingatia hilooo na kama huamin endeleaa kwani

Utaoa kila siku.
Watoto watakuchukia.
Utafukuzwa kazi
NK........
 
Na kwa kulijua hilo..ndo maana dini ya kiislamu ikaweka exception juu ya dhambi ya kusema uongo,yaani moja ya exception zake ni kumdanganya mkeo...yaani kumdanganya mkeo kwenye dini ya kiislamu ni halali kbs esp ikiwa uongo huo utasemwa katika harakati za kuimarisha au kuinusuru ndoa yenu...

So,naunga mkono kuwadanganya wanawake esp wake zetu...Mungu alishajua madhaifu yao toka anawaumba hawa viumbe.
 
We wadanganye wenzio tu kwamba mwanamke ni mwepesi wa kusahau.

Kwa taarifa yenu tunawajua sana ila saa nyingine tunapotezea kwa sababu ipo siku ukweli lazima utajulikana tu.
We mzalamo wanapo zungumza wanaume kaa kimyaaaaaa
 
Wakati mwingine ni muhimu kumpiga chenga ya mwili (wapenda soka watakuwa wamenielewa), ukiwa mkweli sana anaweza kukuona mshamba..
 
SiSI TUNAWADANGANYA ILA WAO WANATUAMBIA UONGO.

Kudanganya: oooh baby, leo nimechoka kweli, nilikuwa job ndo maana nimechelewa kurudi. (Hapa kumbe ulikuwa kwa mchepuko wake).

Kusema uongo: baby huyu kichanga anafanana sana na wewe, ebu mcheki macho yake yaani kama yako. ( Kumbe ni mtoto wa mwanaume mwingine na yeye anajua).



 
Alichosema mtoa mada ni kweli kabisa, siku km mbili tatu hiv nimelitongoza dada moja, sasa yeye linataka eti nimuoe kwa ufupi ukiniangalia unaona kabisa hapa muoaji hamna, nikamwambi kweli nakuoa basi lilitOa mbunye siku ileile, lakini ningesema simuoi naona had leo ningesotea mbunye sasa akae asubirie ndoa huku tukiendelea kul mbunye aiseeee
Uongo muongopeeee anayependa kuongopewa
 
Back
Top Bottom