Wanaume tuu!!!

Mwisho ushauri wa watu wote waliokupa, uliouona unafaha na ule usiofaha kubwa zaidi "Akili za kuambiwa changanya na zako" majibu ndani ya kichwa chako.
 
Jarbu kujirdhsha mwenywe kwa kupiga nyeto it real helps kuliko kukutana na wanawake wengne ukaleta magonjwa kwnye familia nyeto haina shda kbsa..!kazi kwako
 

Nilikuwa nasema na dogo asubuhi akinilalamikia hii kitu nikamwambia awe anapoza huko aliko akajibu wanawake wa huko aliko kikazi (tarime) hawana kabisa mvuto hata kama amezidiwa vipi. Macho hayana pazia nimechungulia kwa toilet paper mana ulisema only men.
 
Enginear gani anakaa miezi mitatu sehemu moja wewe? Kwani yuko vitani.

Hebu nipe mfano wa enginear wa barabara kakaa sehemu ile ile miezi mitatu, na ilikuwa reason gani?

Unaongelea mtu akae miezi mitatu kwani huyo padri au anaudhaifu kwenye mwili wake? Huyo ni mwanaume na mwanaume kweli wa shoka hawezi kukaa mwezi bila kutafuna tunda.....Wewe unaongelea miezi mitatu kama mchezo.

Kweli mungu kaumba wanaume aina nyingi, mingine inaweza kukaa miezi mitatu bila kufanya sex.
 
Akili yako inatakiwa iutawale mwili sio mwili uiongoze akili. Wanadamu tumepewa uwezo wa kuamua kwa kutumia akili na kujenga mazingira yatakayokufanya usishawishike. Kwani mwili ukijisikia kufanya hivyo si lazima unafikiria kwanza, halafu unaanza kupanga mikakati namna gani upate mwanamke, halafu unaanza kufukuzia na baadaye unampata-ni mchakato mrefu ambao kama akili ikinuia kutofanya hauwezi kufanya. Maana hata ukishawishika utafikiria mara moja na akili itakuambia hapana then utaacha kuendelea na mchakato mzima.
Kwa hiyo jambo la kwanza ni kuzoeza akili yako kukataa halafu mwili utatii kile akili inataka. Uwepo wa Mungu maishani mwako ni wa muhimu sana katika kuweza hili.
Wakati unashindwa kukaa miezi mitatu wengine wanakaa miaka kwa kutumia kanuni hii na yote yanawezekana.
 
Mimi mwenye nilidhani RussianRoulette ni mdada nikataka niulize nimeogopa maana ninaweza kujikuta natandikwa Ban kwa kumhoji Mod.

Mi siangalii sura Mkuu, ninachotaka ni maelekezo yafuatwe. Kwan Mod akiwa mdada, ndo anahodhi na jinsia zote? 🙂lol: )
 
Je umefikiria mke wako anapataje maraha. Isiwe ukitoka tu kunajamaa anakuwa baba. Je hao watoto ni wako kweli? Mimi hapa ushauri wangu ni Mkeo anajamaa wa nje basi nawewe uwe na mwingine huko kazini kwako.

Mkuu wanawake hawafai.......
 
kama mkeo hawezi kuja sehemu ulipo,si wewe uende?unaonekana wewe ni mbahiri sana,panda hata ndege kama kweli hupendi kuchit
 
Ahaaaaa kazi ipo? Miezi mitatu kusastain unashindwa mbona mimi nina miaka mitatu?

mwongo mkubwa wee!!!!!!!!!
usitake sifa hapa, halafu kwanza we mwanamke mwanamme?
 
Kuna wengine hapa wakitoa ushauri tu unajua jinsia zao
 
Duh! Usijiweke katika mazingira hatarishi. Uwe unanunua magazeti na majarida mbalimbali baada ya kazi unapitia. Tafuta karedio kadogo au ipod uwe unakula music. Au waweza jaza movies na series kwenye laptop yangu ukipata time unaangalia. Usipende kwenda bar, ukishaoga na kula jifungie chumbani.
 

mkuu we dini gani, maana kwa jinsi unavyoingia chaka inasikitisha
 
Tatizo lako ni dogo sana, YOUR NOT SERIOUS.
 
Na yeye ni mfanyakazi, somewhere alafu kazi yake inamuhitaji sana hawezi kutoa excuse za kijinga jinga akaeleweka labda achukue likizo, ishu inakuja je atachukua likizo mara ngapi?

hamna ni kujipanga tu.. kwa TZ hii hamna mkoa utakaosafiri kwa siku nzima kwa ndege ndio ufike....., kama mambo yamebana, tuma tiketi ya flight, punguza uzito akili ikae sawa.....!

napita tu lakin..!
 
Mkuu kikubwa hapo ni maamuzi tu.ukiamua hakuna kinachoshindikana

Yesu Kristi alishatangaza mbiu na kusema mwenye kiu na aende kwake ili anywe na akinywa hataona kiu milele hiyo ni dhambi tu inamsumbua

ina maana ukipata shule kusoma zaidi nje ya nchi mwaka mmoja utaweza kweli

lkn ukiwa na Yesu, utampata kwa kutubu dhambi zako na kuokolewa ndipo utafanyika toto wa Mungu na kisha kupewa uwezo wa ksuhinda dahambi Warumi 5.12, 3.23, mithali 28.13, mathayo 1.21 na yohana 1.12
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…