Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,744
hapa ndo ambapo namkubali husband wangu. hawezi kusifia kitu ambacho hakifurahiibut kipi bora?
honest credits au tusifie sababu tunajua ni ugonjwa wenu kusifiwa?
what if unasifiwa but sio ya moyoni?
Tatizo naona wengi humu hamjawajua wanawake nyie...wengi ukiwasifia wanaenda kujiangalia tena kwenye kioo; mwanamke gani asopenda kusifiwa bana.
Yani mi nitoke chicha wewe ukae kimya eti ntajua tu umenisifia kimoyo moyo...afu nikienda kazini office mate kila siku anatoa sifa, unategemea nikuchukulieje? Sikuvutii au?..Sifieni wake zenu bana...na hii usaidia wao kujua ni nguo gani mnapenda au mtindo gani wa nywele mnapenda. Msitegemee kuwa wanawasoma mawazo yenu...hakuna mwenye huo ujuzi wa kusoma mawazo ya mtu. ..Mnataka mpaka wife akuulize 'nimependeza?'
Huwa tunasoma namba kimoyomoyo..
Ukipendeza jua tu umependeza..ila kama hukupendeza ntakuambia..
...Kama huna tabia ya kumsifu mkeo usitegemee atachukulia criticisms zako positively...atajua ni ghubu tu.
but kipi bora?
honest credits au tusifie sababu tunajua ni ugonjwa wenu kusifiwa?
what if unasifiwa but sio ya moyoni?
nikiwa nyumbani lazima nimsifie mamangu kwa upikaji wake (iwe ametia chumvi zaidi, iwe ameunguza) coz na appreciate effort zake. akiniuliza kama nimeshiba I always say yes (hata kam nina mpango wa kwenda kumtafuta mama ntilie baadaye kidogo :biggrinbecause na appreciate the fact that katoka kazini kama mie na uwezo wa kumpikia jembe nzima kama mie ashibe ni shughuli
nikienda kumwona my beloved lazima nimsifie that *you look very pretty today* au *you're the prettiest woman I know* while ukweli ni kwamba I have friends that are hotter than her. hii ni coz women are of a delicate nature, kwanini uliumize ua?
I'd rather shower fake praises than hurt them with the truth. hamna haja ya kumwambia mamangu kuwa anatia chumvi zaidi wakati amechoka lakini bado kajiua kunipikia au nimwambie dame wangu kuwa I love that she is way smarter than me na ndo maana I fell in love with her wakat she spend all evening akijirembua for me
if you love your women, praise them. it may not be the truth, but they deserve it leh
Mpaka aje na conclusion kama hii atakuwa basi hajaishi na mimi..
Manake from day1 unatakiwa unijue nilivyo na ukubaliane na principles zangu..
Sidhani kama atachukulia criticisms zangu in that way...
mimi uwa nawasifia nipate nnachotaka, sionagi ubaya
mama sifa nnazokupa ni genuine kabisa, huko ilikuwa ni changamsha gengewe huz wewe kumbe eeh, nimegundua!
Why is it that many couples can easily open up to strangers (including vimada and vidumu) but not their husbands/wives? Kuna movie nilicheki...mke alidate na mumewe online baada ya kuona ndoa yao inakaribia kufa...mume kaanza kufunguka kwa nini mapenzi na mkewe yameshuka. Wakati mkewe alishamsihi amwambia what's wrong anagoma.
absolutely!yani bonge la uchawi hawajui tu!Kwa tabia hiyo utakuwa unapendeka...wewe utafanya kuchagua tuuu; wengi watakuzimia.Lol.
Hivi vitu ni vidogo lakini ni kama uchawi vile.
Hata wanangu nimeshazoea kuwambia nawapenda now and then...kama napiga simu lazima nimalizie "nakupenda mwanangu" na yeye utamsikia "nakupenda pia mama" wakati mwingine wao ndio wanaanza. Nadhani watakuwa good husbands/partners...hawatakuwa wanaona aibu ku show their feelings.
Sawa ni wajibu wetu kuwapikia,sawa ni wajibu wetu kuwafulia,sawa ni wajibu wetu kunyoshea nguo,sawa ni wajibu wetu kulea watoto,sawa ni wajibu wetu kuweka vyumba na nyumba nzima safi,sawa ni wajibu wetu kujiremba.lakini jamani kwanini wengi wenu ni ngumu sana kuonyesha mmefurahi,mwambie mkeo umependeza,wife leo msosi wa leo baaab kubwa,honey leo umekatika vizuri ile mbaya,au mke wangu mashuka uliyonunua ni mazuri yameshine vizuri sana kitandani,kama mkeo /mpenzi amebadili style ya nywele and it appeals t yu si umwambie?kama amebadilisha setting ya bedroom kwanini usimwambie kilivokuvutia kwa hu mpangilio mpya!PLEASE JAMANI TUPENI TU HIZO CREDITS ZETU !
tena kubwa kwweli kweli!kwanini usimwonyeshe mwenzio kuwa alichofanya ni kizuri kama vile unavomkosoa anapofanya kibaya?tena wengine ndo hovyo kweli utakuta anamkosoa mkewe /mpenzi wake mbele za watu!Mie sina tatizo kusifia, lakini sifa inapoombwa ujue kuna tatizo kubwa.
Halafu,nani kasema wajibu wenu?