Wanaume!tusifieni jamani tusifieni

hapo chacha ndo natamanigi kupiga mtu kwenzi!

pacha hata sielewi hasa ni nini mnataka nyie wanawake..
Nikisema nikusifie tu wakati sijisikii kufanya hata maana ya neno 'sifa' itakuwa haipo..
Fanya jambo 'extraordinary' upate sifa zangu..haitoshi tu kunipigia pasi nguo zangu nikumwagie misifa..
 
Mie sina tatizo kusifia, lakini sifa inapoombwa ujue kuna tatizo kubwa.

Halafu,nani kasema wajibu wenu?

Exactly my point
Sifa zije natural ..
sifa za kuombwa na kukumbushwa uzitoe
'zina walakin'
na sisi wengine twapenda tutuoe sifa 'genuine'..
 
pacha hata sielewi hasa ni nini mnataka nyie wanawake..
Nikisema nikusifie tu wakati sijisikii kufanya hata maana ya neno 'sifa' itakuwa haipo..
Fanya jambo 'extraordinary' upate sifa zangu..haitoshi tu kunipigia pasi nguo zangu nikumwagie misifa..
ila kukosoa ninaponyosha suruali na kweka pindo mbili?
 
pacha hata sielewi hasa ni nini mnataka nyie wanawake..
Nikisema nikusifie tu wakati sijisikii kufanya hata maana ya neno 'sifa' itakuwa haipo..
Fanya jambo 'extraordinary' upate sifa zangu..haitoshi tu kunipigia pasi nguo zangu nikumwagie misifa..

ila tunaponyosha suruali na kuweka pindo mbili ni rahisi kukosoa enh?ahahahhhhahahhaha haya bwana
 
Ule uzi usiwe nongwa
hatupingi kuwasifia
tunapinga 'kuwapaka mafuta na mgongo wa chupa'...

ila hata mimi sizitaki za mgongo wa chupa,ninachokimaanisha ni kuwa huwa si rahisi kusifia hata pale tunapokuwa tunadeserve kaka!za kinafiki sio nzuri since hazitanisaidia sana wala hazitasaidi kutambua umefurahia nini!manake kesho nitafanya kile kile nikijua umefurahia ilhali ilikuwa ni bora liende!la msingi unapomsifia mkeo/mpenzi inamsaidia kujijua wat she is gud at!ukikaa nalo rohoni na kulipongeza kimoyomoyo how wud i know?ndo yale yale ya mzee K hata upate mathematics 99 hasemi kuwa umefanya vizuri!
 
Nakubaliana na wewe
but sijui kama unajua
ukipenda sana sifa ni ngumu kwako kujua' sifa zipi ni genuine au la'
na hatari iliyopo kwa mwanamke mwenye udhaifu wa kupenda sifa?
 
unajua its not the matter ya mwanamke kupenda sifa,nafikiri hapa kidog sijaeleweka,hatupendi sifa wat we need is jus genuine appreciations,yan some words jus to acknowledge the way we re too busy making the home jamani!jus that!is it too much to ask?
 
Nina uhakika kama una binti yako
na anapenda mno kusifiwa kuwa kapendeza na ni mzuri
unajua hatari iliiyo mbele yake
otherwise sifa genuine ni muhimu
 
Hawa watu wanapenda kusifiwa dah! Huko katika Facebook wanapenda kuweka picha za pozi ili kina sisi tusema "umependeza"
 
nina binti yes,kumsifia ni muhimu si lazima nimwambie ni mzuri lakini akija kukua kakutana na libazazi linamwambi she is beautiful and wat wala asishangae saaaaana maana hata wazazi wanamwambia hilo!ila kwa watoto kuna namna ya kuwapraise in a way asivimbe kichwa sana ikamuumiza!
 
Hizi ndizo zenyewe kwa sababu umefanya ndivyo sivyo..
Ila ukipatia sana upanga ukawa unawaka hapo nakupa credit zingine..

haahahahhahhahahhahha nataka ukiwa sober!sio zile za maeneo af ndo unakazana mwenyewe kumwaga misifa!ahahahhahahahahhah
 
Hizo za fb zina wenyewe...mi mke wa mtu siwezi kutundika picha sexy, ukiona kuna picha basi jua ni ya matukio ya kibiashara zaidi.

Mh. Niweke picha za hajabu huko si baba nanii atanambia nijitoe kwenye hiyo social network haraka sana. Unajua watu wanaweza kuzi down load na kuzitumia vibaya?

Back
Top Bottom