Wanaume tupunguze kujirahisisha kingono

Wanaume tupunguze kujirahisisha kingono

Naamini wewe ni mbinafsi haiwezakani mwanaume utulie na mwanmke mmoja hao wanawake wengine wataishije mkuu
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai
 
Kila mtu na maamzi yake mda huu kuna wengine wapo vifuani wanagugumia tu maisha ni kupanga ,,,,,,,,,kupanga nikuchagua
 
Jitolee kuiaminisha jamii mwanamke anayetembea na wanaume wengi wamtizame sawa na mwanamme anayetembea na wanawake wengi. Unaweza kufanikiwa.

Naomba kuuliza, hivi kila mwanaume akiwa na mwanamke mmoja watakaobaki itakuaje?
Doh!
 
Bora wewe umejitambua, wenzako wanaona urijali kumbe hamna kitu. Kuchovyachovya dyudyu yako ya thamani kwenye mbunye za kila aina ni ukahaba kama ukahaba mwingine!
 
Back
Top Bottom