Wanaume tupunguze kujirahisisha kingono

Wanaume tupunguze kujirahisisha kingono

Jitolee kuiaminisha jamii mwanamke anayetembea na wanaume wengi wamtizame sawa na mwanamme anayetembea na wanawake wengi. Unaweza kufanikiwa.

Naomba kuuliza, hivi kila mwanaume akiwa na mwanamke mmoja watakaobaki itakuaje?
Upo utaratibu wa kuwa na mke zaidi ya mmoja ktk dini ya kiislam.

Kumbuka pia hata hao unaojirahisisha kwao sio kwamba unawahudumia ila ni chapa ilale ilimradi tu upite nae.

Kakija kahousegirl unapiga, mfanyakazi mpya kazini unapiga, mpangaji mpya unapiga, muhudumu wa hotel unapiga... Yani fujo tu kisa inasimama
 
Mwanamke akikupenda unamlataliaje sasa?
Ndio kujirahisisha kwenyewe huko sasa, mwambie hapana... Nina mke/mpenzi wangu!
Hapo utapata heshima zaidi kuliko kupita nae na akajua una familia, atakuona jinga tu.
 
Hii ajenda yako sio sawa utakuwa una shida kidogo wewe sulemani alikuwa na wanawake wa ndoa 600 vimada 400 aliwahudumia wote sawa sisi tunakuwa na wawili au watatu kuwa na mwanamke mmoja ni udhaifu mkubwa usifanye hivyo mkuu hata heshima kwa mke inapungua
Umesema aliwahudumia wote (wake na vimada). Vipi hawa wanaokuja humu kulia mara vizinga, mara kaombwa sijui nini....

Kusanya wengi uwezavyo ila wawe wako kihalali na kila mtu atambue hilo
 
Wazo lako ni mtambuka mkuu. Dini zinakataza mambo hayo, wakati baiolojia inataka.
Mfano binadamu wote duniani wakawa ma'couple. Wanawake wanaobaki watatimiziwa haja zao na nani?
Dini ya kiislam haikatazi mkuu, uwezo wako wa kuwahudumia tu unajivutia wanne kwa utaratibu.
 
Ndio kujirahisisha kwenyewe huko sasa, mwambie hapana... Nina mke/mpenzi wangu!
Hapo utapata heshima zaidi kuliko kupita nae na akajua una familia, atakuona jinga tu.
Mimi mtu akinipenda huwa narudisha upendo kwake maradufu siwezi kumwambia hapana
 
Wanaume tunajidanganya tu ila hata uwe na madem weng utamu niule ule papuch niile ile kinach tuponza tamaa t
Upo sahihi kabisa, kutangatanga ni kujidhalilisha na kutotambua utu wako.
 
Mwanaume wa kwel hapimwi kwa idad ya wanawake alofnya nao ngono....badliken wanaume
Mwanaume wa ukweli anapimwa kwa msimamo thabiti alio nao ktk maamuzi yake kimahusiano nk.
 
Mfumo umebadilika mkuu wakati huo walitegemea mashamba miaka hii tunategemea fedha ukiwa na ndoa mbili harali unachanganyikiwa ila mchepuko unaweza ukishindwa unamwambia leo imekaa vibaya atajiju akiludia kesho unabwaga kabisa tafuta mwingine
 
Unadhanii tunapendaa bhasiii...!! Shidaa VIZINGAAAA mnavyotupigaa jamanii... Sasa inabdi tutangetange kutafuta ambae kidogo mwenye utu na upendowa kweli...haangalii pesaaa
Ukishampata sasa unatakiwa kufunga break utulie tuliiii
 
Mi sijui nikoje.... Yaani sipendi kabisa mademu...! Yaani kama wamo humu wanijaribu!
Mmmmh [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hatapona mtu hapo!
 
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_nature-quotes.jpg
 
Hiii kitu hiii Hiii kitu hiii..[emoji97][emoji443][emoji450][emoji448][emoji449][emoji447] kwasauti ya marehemu john walker
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Unakuta mwanaume amepigania maisha Mungu kamjalia si haba lakini anajiingiza Kwenye hatari Za maisha kwa uzinzi na uasherati [emoji108]
Unawezaje kumwamini Mtu hadi ukajihatarisha utu wako kwa kulala na ke ambae siyo mkeo?[emoji87]
Hapo ndipo shetani alipoweka kambi, unapambana mpaka unafanikiwa alafu kwa kutotambua utu wako unajiangamiza mwenyewe.
 
Back
Top Bottom