Usiseme majukumu dada, saazingine inabidi kuondoa mastress kwa kukaushwa hata Mara 5 kesho unaamka mwepesi sio kusingizia majukumu.Mapenzi nayo yalikuwa ya zamani kipindi tulikuwa hatusomeshi na majukumu tulikuwa kama wewe ila sasa maisha na kukausha Maji na kuyaleta na kukausha duhkazi ipo
Hujashuka top tenDuuuh haya mkuu wa kupiga na kukausha
AhahahaHujashuka top ten
Kwa usawa huu wa magu iyo machine itasaga unga pare manzeseNimeficha kidogo lakini nadhani nimeeleweka.
Sazingine tunakutana na wate mashines, lakini kimsingi hakuna machine yenye maji ambayo haya kauki.
kama ukiipiga vizuri inakauka na inakuwa mnatos na nduguzetu hawa watatuheshimu.
That's what am doing, napiga nakausha, napiga nakausha napiga nakausha.
Mkuu hio kitu ni suguBullar, ishu siokupambana kama vita, ishu nikupiga mashine kiume demu akuelewe, sio kuzinguazingua.
Nimeficha kidogo lakini nadhani nimeeleweka.
Sazingine tunakutana na wate mashines, lakini kimsingi hakuna machine yenye maji ambayo haya kauki.
kama ukiipiga vizuri inakauka na inakuwa mnatos na nduguzetu hawa watatuheshimu.
That's what am doing, napiga nakausha, napiga nakausha napiga nakausha.
Magu hanatatizo na mtu anaefanya kazizake za halali nakujipatia kipato.Kwa usawa huu wa magu iyo machine itasaga unga pare manzese
Kudeki lazimaNimeficha kidogo lakini nadhani nimeeleweka.
Sazingine tunakutana na wate mashines, lakini kimsingi hakuna machine yenye maji ambayo haya kauki.
kama ukiipiga vizuri inakauka na inakuwa mnatos na nduguzetu hawa watatuheshimu.
That's what am doing, napiga nakausha, napiga nakausha napiga nakausha.
Nikweli pesa muhimu.Heshima pesa mashine/ dushe peleka vijijini
Kusakapesa hiyo hainaubishi.Endelea kupiga na kukausha.... utakua millionea siku c nyingi.....
Mi nazichanga na kutumia braza.... nimekosa machine ya kukaushia.
K haukomolewi.... saka pesa bob sio unapenda matumizi tu... ukikosa vya kukaushia.... utapigwa wewe afu ukamkaushie mwingne