chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,377
- 23,478
Ipo siku Mungu atakupiga na wewe!! Si umeonesha uonevu laivuu?? Mungu atamuinua mtu sehemu akuonee hadi uone dunia chungu!! Hembu muwage na hofu ya Mungu kidogo loh!!cha kufanya hapo ni kuwa mbabe tu
usimpe nafasi ya kuongea chochote
kata vibao vya kutosha
mwanaume kichwa cha familia bhana!
Ni kukataa tu basAnza kwa kutubia.
Nawazoooom tuu hapa!!!
Rudi hapa hebu
Uzi huu una a hidden message au subliminal message,nayo ni "mchepuko ruksa." Mtu mjanja anatambua pia kwamba nia ya uzi huu ni ultimately kuharibu morals za society yetu.Mwenye akili haambiwi tazama.Bandiko hili is simply luciferian.Wakuu habari za leo.
Kwakua wengi humu mmewahi kuchepuka na mnachepuka kwa sababu mbalimbali kama wake zenu kua mbali, wengine tamaa na wengine wanachepuka bila sababu.
Sasa tupeane shule hapa, imagine ndio umechepuka au umekua ukichepuka kwa sababu za mwizi ni arobaini ndo mkeo kakudaka pengine kupitia simu yako au amekudukua (tracking) na akapata evidences zote yaani evidences beyond doubts, sasa akaleta evidences kwako na ukaona kabisa anachozungumza ni kweli.
Nauliza Sasa kipi bora
1. kukubali kosa na kuomba samahani au
2. kubisha mwanzo mwisho ili uonekane hauhusiki na tuhuma?
Je,baada ya kukubali au kukataa utachukua hatua gani kuhusu huyo mchepuko wako?.
1. Utaachana nae(kusitisha uhusiano) au
2. Utaendelea nae kimya kimya kwa kificho?
3. Je ni mbinu gani utaziboresha ili next time usikamatwe(endapo utakua umeamua kuendelea na mchepuko wako kimya kimya kwa kificho)
Kipi ni bora eti wanaume wenzangu tushauriane maana hata uwe unajua mambo mengi ila bado hauwezi kujua kila kitu.
Ambao hamna ndoa pia mnakaribishwa.
Huu uzi sio uzi wa povu wakuu, ni uzi wa kawaida tu.
Epuka sana vitu hvyo kuvifanya hakuna kitu kibaya kama hicho na hata mkiombana msamaha hakuna amani tena hamtoaminiana tena,Wakuu habari za leo.
Kwakua wengi humu mmewahi kuchepuka na mnachepuka kwa sababu mbalimbali kama wake zenu kua mbali, wengine tamaa na wengine wanachepuka bila sababu.
Sasa tupeane shule hapa, imagine ndio umechepuka au umekua ukichepuka kwa sababu za mwizi ni arobaini ndo mkeo kakudaka pengine kupitia simu yako au amekudukua (tracking) na akapata evidences zote yaani evidences beyond doubts, sasa akaleta evidences kwako na ukaona kabisa anachozungumza ni kweli.
Nauliza Sasa kipi bora
1. kukubali kosa na kuomba samahani au
2. kubisha mwanzo mwisho ili uonekane hauhusiki na tuhuma?
Je,baada ya kukubali au kukataa utachukua hatua gani kuhusu huyo mchepuko wako?.
1. Utaachana nae(kusitisha uhusiano) au
2. Utaendelea nae kimya kimya kwa kificho?
3. Je ni mbinu gani utaziboresha ili next time usikamatwe(endapo utakua umeamua kuendelea na mchepuko wako kimya kimya kwa kificho)
Kipi ni bora eti wanaume wenzangu tushauriane maana hata uwe unajua mambo mengi ila bado hauwezi kujua kila kitu.
Ambao hamna ndoa pia mnakaribishwa.
Huu uzi sio uzi wa povu wakuu, ni uzi wa kawaida tu.
Hahahaha nmecheeeka kivivuWewe baki kimya atagomba weee wewe huku unacheza na mtoto au unajifanya unatengeneza bulb akimaliza atanyamaza.
Nawatahadharisha mabachelor wasitoe ushauri usije ukalikoroga.