Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,445
- 25,727
hahaha ushauri murua kabisa huu, yani kimya tu na atakuelewa kuliko kuanza kubishana nae au kuleta ujanja wa kujitetea, kujitetea mkiwa kitandani tu kule baasi.Wewe baki kimya atagomba weee wewe huku unacheza na mtoto au unajifanya unatengeneza bulb akimaliza atanyamaza.
Nawatahadharisha mabachelor wasitoe ushauri usije ukalikoroga.