Wanaume tupeane darasa, hatua gani za kuchukua mkeo anapokupa uthibitisho kwamba unachepuka?

cha kufanya hapo ni kuwa mbabe tu
usimpe nafasi ya kuongea chochote
kata vibao vya kutosha
mwanaume kichwa cha familia bhana!
Ipo siku Mungu atakupiga na wewe!! Si umeonesha uonevu laivuu?? Mungu atamuinua mtu sehemu akuonee hadi uone dunia chungu!! Hembu muwage na hofu ya Mungu kidogo loh!!
 
Kuomba msamaha ni uungwana, lakini kuachana na mchepuko huo ni busara ili kutibu maumivu ya mwenzio, na kwa kuwa wanaume wengi tu wagumu wa kuomba msamaha unaweza kufanya jambo ambalo litany hub it is his mwenzio kwamba unaomba msamaha
 
Kataa katakata lamba mpaka moto ila usije kubali cha msingi ni kubadili techniques huku ukijua za zamani zishafeli ndo mana umefumwa Man
 
Huo mkasa ulinipata juzi juzi tu ila nilikoma na bado nakoma..nilikua mpole tu kaongeaa wee ila alivyomaliza nikakana..akasema ndio maana c tunanyimwa ela wanatumia wenzetu..kesho nikamtaftia kijiela..mchepuko naendelea nao kimya kimya simu yangu usiku siigusi usiku..akilia tu ela ya kusuka nampa.akisusa kupika namnunulia chakula..kimsingi nateseka ila ndio vile tena..tukijibishana kidgo tu kaitaja michepuko yangu yote kwenye historia yetu..
 
Wakuu habari za leo.

Kwakua wengi humu mmewahi kuchepuka na mnachepuka kwa sababu mbalimbali kama wake zenu kua mbali, wengine tamaa na wengine wanachepuka bila sababu.

Sasa tupeane shule hapa, imagine ndio umechepuka au umekua ukichepuka kwa sababu za mwizi ni arobaini ndo mkeo kakudaka pengine kupitia simu yako au amekudukua (tracking) na akapata evidences zote yaani evidences beyond doubts, sasa akaleta evidences kwako na ukaona kabisa anachozungumza ni kweli.

Nauliza Sasa kipi bora
1. kukubali kosa na kuomba samahani au

2. kubisha mwanzo mwisho ili uonekane hauhusiki na tuhuma?

Je,baada ya kukubali au kukataa utachukua hatua gani kuhusu huyo mchepuko wako?.

1. Utaachana nae(kusitisha uhusiano) au

2. Utaendelea nae kimya kimya kwa kificho?

3. Je ni mbinu gani utaziboresha ili next time usikamatwe(endapo utakua umeamua kuendelea na mchepuko wako kimya kimya kwa kificho)

Kipi ni bora eti wanaume wenzangu tushauriane maana hata uwe unajua mambo mengi ila bado hauwezi kujua kila kitu.

Ambao hamna ndoa pia mnakaribishwa.
Huu uzi sio uzi wa povu wakuu, ni uzi wa kawaida tu.
Uzi huu una a hidden message au subliminal message,nayo ni "mchepuko ruksa." Mtu mjanja anatambua pia kwamba nia ya uzi huu ni ultimately kuharibu morals za society yetu.Mwenye akili haambiwi tazama.Bandiko hili is simply luciferian.
 
Wakuu habari za leo.

Kwakua wengi humu mmewahi kuchepuka na mnachepuka kwa sababu mbalimbali kama wake zenu kua mbali, wengine tamaa na wengine wanachepuka bila sababu.

Sasa tupeane shule hapa, imagine ndio umechepuka au umekua ukichepuka kwa sababu za mwizi ni arobaini ndo mkeo kakudaka pengine kupitia simu yako au amekudukua (tracking) na akapata evidences zote yaani evidences beyond doubts, sasa akaleta evidences kwako na ukaona kabisa anachozungumza ni kweli.

Nauliza Sasa kipi bora
1. kukubali kosa na kuomba samahani au

2. kubisha mwanzo mwisho ili uonekane hauhusiki na tuhuma?

Je,baada ya kukubali au kukataa utachukua hatua gani kuhusu huyo mchepuko wako?.

1. Utaachana nae(kusitisha uhusiano) au

2. Utaendelea nae kimya kimya kwa kificho?

3. Je ni mbinu gani utaziboresha ili next time usikamatwe(endapo utakua umeamua kuendelea na mchepuko wako kimya kimya kwa kificho)

Kipi ni bora eti wanaume wenzangu tushauriane maana hata uwe unajua mambo mengi ila bado hauwezi kujua kila kitu.

Ambao hamna ndoa pia mnakaribishwa.
Huu uzi sio uzi wa povu wakuu, ni uzi wa kawaida tu.
Epuka sana vitu hvyo kuvifanya hakuna kitu kibaya kama hicho na hata mkiombana msamaha hakuna amani tena hamtoaminiana tena,

Upendo utapungua sana tendo la ndoa litapungua tu ukifikiria tu teyar jamaa kesha lala mwanamke nae akifikiria tu keshahama kimawazo.

Hamtokaa kuaminiana tena na tena atakudanganya mdomoni moyon anakuona mbwa tu.
 
Sijaoa lakini nilishafumaniwa live..ukweli nilikataa mwanzo mwisho
 
Nlishafumwaga mubashara kupitia msg za michepuko yng siku wife alipokua anakaguakagua simu yng...
Reaction yng ilikua moja tu kwann unapekuapekua simu yng unachotaka hasa n nn? Kwa sababu michepuko ilikua ming zaid ya mitatu nkwamwambia ni watu nataniana nao nawezaje mm mtu mmoja ni date na wanawake wote hao? sasa wewe ingia kichwa kichwa uone utakavyopata stress kwa kudhania sivyo ndivyo?
Kwan unampango wa kuniacha?
Kama huna nia ya kuachana na mm acha kunipeleleza hakuna siku utakagua simu ukose kitu cha kukupa mashaka unless niache kutumia sim kabisa... tangu siku hyo hamna kitu anaheshimu kama simu yng hata aione inadumbukia kwny maji hawez kuigusa
Kitu cha msing ni kumfundisha namna ya kukaa mbali na simu yako
 
Mi nawashauri, mwanaume ukifumaniwa usilete ubabe kuwa tu kimya, inakera kutenda kosa na kuleta ubabe pia.
Mkiweza kila mtu asiguse simu ya mwenzie itapendeza, weka password hadi kwa kalenda

Mjifunze kuchepuka kismart, unakuaje mzembe hadi udakwe?? Chepuka kwa heshima, kuwa na mipaka na mawasiliano na mchepuko sio masaa yote anakutafuta, chepuka huku unahakikisha nyumbani hapaharibiki.

Mwisho unavochepuka wewe jua na mkeo ana nyege nae anachepuka hivo msameheane wote sio usamehewe wewe tu.

cc mchepuko wangu Ngoda95
cc espy Heaven Sent demi
 
Wewe baki kimya atagomba weee wewe huku unacheza na mtoto au unajifanya unatengeneza bulb akimaliza atanyamaza.

Nawatahadharisha mabachelor wasitoe ushauri usije ukalikoroga.
Hahahaha nmecheeeka kivivu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom