Wanaume tupeane darasa, hatua gani za kuchukua mkeo anapokupa uthibitisho kwamba unachepuka?

Good Father

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
10,272
18,334
Wakuu habari za leo.

Kwakua wengi humu mmewahi kuchepuka na mnachepuka kwa sababu mbalimbali kama wake zenu kua mbali, wengine tamaa na wengine wanachepuka bila sababu.

Sasa tupeane shule hapa, imagine ndio umechepuka au umekua ukichepuka kwa sababu za mwizi ni arobaini ndo mkeo kakudaka pengine kupitia simu yako au amekudukua (tracking) na akapata evidences zote yaani evidences beyond doubts, sasa akaleta evidences kwako na ukaona kabisa anachozungumza ni kweli.

Nauliza Sasa kipi bora
1. kukubali kosa na kuomba samahani au

2. kubisha mwanzo mwisho ili uonekane hauhusiki na tuhuma?

Je,baada ya kukubali au kukataa utachukua hatua gani kuhusu huyo mchepuko wako?.

1. Utaachana nae(kusitisha uhusiano) au

2. Utaendelea nae kimya kimya kwa kificho?

3. Je ni mbinu gani utaziboresha ili next time usikamatwe(endapo utakua umeamua kuendelea na mchepuko wako kimya kimya kwa kificho)

Kipi ni bora eti wanaume wenzangu tushauriane maana hata uwe unajua mambo mengi ila bado hauwezi kujua kila kitu.

Ambao hamna ndoa pia mnakaribishwa.
Huu uzi sio uzi wa povu wakuu, ni uzi wa kawaida tu.
 
Wakuu habari za leo.

Kwakua wengi humu mmewahi kuchepuka na mnachepuka kwa sababu mbalimbali kama wake zenu kua mbali, wengine tamaa na wengine wanachepuka bila sababu.

Sasa tupeane shule hapa, imagine ndio umechepuka au umekua ukichepuka kwa sababu za mwizi ni arobaini ndo mkeo kakudaka pengine kupitia simu yako au amekudukua (tracking) na akapata evidences zote yaani evidences beyond doubt, sasa akaleta evidences kwako na ukaona kabisa anachozungumza ni kweli.

Nauliza Sasa kipi bora kukubali kosa na kuomba samahani au kubisha ili uonekane hauhusiki na tuhuma?


Kipi ni bora eti wanaume wenzangu tushauriane maana hata uwe unajua mambo mengi ila bado hauwezi kujua kila kitu.

Ambao hamna ndoa pia mnakaribishwa.
Huu uzi sio uzi wa povu wakuu, ni uzi wa kawaida tu.
Kwanza kabisa kama nimempa nyumba au nimemfungulia acc bank naamisha mpunga wote kwenye account yangu


Na hati ya nyumba naibadilisha faster iwe-mali yangu.....

Yani kiufupi nitakuwa smart sana kuhakikisha hatoki hata na TZS 100 ataondoka kama alivyo kuja.
 
Usije ukakiri hata siku 1 kuwa Ni kweli.kataa.utakuja kukubali siku ingine unamtoa out unampeleka guest..unamdinyaaaa halafu unamuomba msamaha.hana pa kwenda hata ukikomaa hukubali kosa ataenda wapi alishaolewa means alikubali kulala bila chupi
 
Daaah huu Uzi unanihusu ,wiki kama 3 nyuma nlifumaniwa msg za michepuko wangu,Mara 2 mfululizo,kiukweli nliomba samahani na nimeamua kuachana na michepuko yote ila umebaki mmoja ambao nimeudhibiti na nimemwambia mi nna mke ila anaishi mbali so akiwa ananitembelea aache kunitumia tumia msg hadi nianze kumtafuta mm kanielewa,ila Wife anadai eti hana imani na Mimi .
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom