nikusahihishe mkuu. Katika kiswahili hamna neno "maadili mema" MAADILI NI MAADILI.
Aidha hamna neno "dhehebu" kuna madhehebu. Mfano huwez kusema dhehebu la mashahidi wa yehova hapana. Cheq chin hapo iyo ndio sshihi
-madhehebu ya mashahidi wa Yehovah
-Madhehebu ya Sunni
-madhehebu ya kisabato
-madhebu ya Kkkt
-madhehebu ya shia
Ni kukumbushana na kuelimishana tuu