Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
kwani ukijenga hutakuwa na majirani au watoto watashinda sebuleni? Hama urudi kwenu ulikozaliwa kijijini hapo sawaWanaume tupambane tujenge nyumba zetu!ili tulee watoto wetu vizuri!hata usipomaliza tatizo hili lakini itapunguza kwa asilimia kubwa sana!
Mwanaume pesa mkuu kama huna pesa hata hiyo mashine haina maanaWale wanaosema mwanaume mashine hawawazi kujenga
Washauri ndugu zako humu wapo wanaohangaika kutafuta dawa za kuongeza mashine wakiamini mwanaume mashineMwanaume pesa mkuu kama huna pesa hata hiyo mashine haina maana
Unaweza kuwa na mche mkubwa lakini kama huna hela mke wako atakuwa anachukuliwa kila siku na jamaa anapewa nyama, utumbo na ulimiWashauri ndugu zako humu wapo wanaohangaika kutafuta dawa za kuongeza mashine wakiamini mwanaume mashine
Mkuu bila shaka hujajenga fanya ujengekwani ukijenga hutakuwa na majirani au watoto watashinda sebuleni? Hama urudi kwenu ulikozaliwa kijijini hapo sawa
Yes mkuuNlishawaambia muda mrefu tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaitwa wanaume wa InstagramWale wanaosema mwanaume mashine hawawazi kujenga
Inasikitisha sanaKama kinondoni Watoto wanacheza pembeni wako mateja ,moshi wa sigara na bangi vyote vinawapata
Well saidMbali na kujenga, sio wore wanajaliwa uwezo wa kujenga, hizo tabia za hao watoto zinasababishwa na wanaume kukimbia majukumu ya kulea wakiwaachia wanawake, baadhi ya wanaume wanajua kuzalisha tu na kukimbia na bado wanajiita wanaume, mwanamke anakutana na changamoto nyingi katika kulea maana mzigo Mkubwa kaachiwa, hata kama familia tank zinaishi nyumba moja lakini kila baba katika hizo familia akasimama katika majukumu yake jamii itasimama, kwangu Mwanaume sio Mashine, yule anayetimiza majukumu yake na kupambana kwa ajili ya familia yake huyo ndiye MWANAUME
nikusahihishe mkuu. Katika kiswahili hamna neno "maadili mema" MAADILI NI MAADILI.Japo nimezunguka nchi nyingi za kiafrica lakini sizungumzii huko Bali nchi yetu Tanzania (japo serikali imesema tutapata tabu saaana[emoji23] )
Inasikitisha sana na pia ndio hali halisi!kwamba kwenye nyumba moja ya kupanga utakuta familia zaidi ya tano!na kila mmoja na tabia zake za ajabu ajabu!wasiwasi wangu ni kuona watoto wanavyoharibika kwa kasi kubwa sana!mfano mkoa wa Dar es salaam wilaya ya Temeke mtaa wa keko asilimia 70% ya vijana waliokulia pale ni wezi,na wacheza kamari!na asilimia kubwa wameacha shule!,sasa mfano mtoto wako akikulia kule kuna asilimia kubwa anaweza kuiga tabia hizo kwa vile ndio jamii inayomzunguka!maana hata baya likifanywa Mara nyingi linakuwa zuri!
Sio keko tu wala sio manzese wala sio Dar pekee! Ni sehemu nyingi tu Tanzania!
Lakini hii yote inasababishwa na msongamano wa familia kwenye nyumba moja!
Ni ngumu sana kumfundisha mtoto wako maadili mema wakati rafiki zake wote wamepotoka!
Wanaume tupambane tujenge nyumba zetu!ili tulee watoto wetu vizuri!hata usipomaliza tatizo hili lakini itapunguza kwa asilimia kubwa sana!
Tusitishe kuuza sura kwa muda na mambo ya kutoana out! Tujenge japo vibanda kama nyumba itashindikana!
N:B;Mwanaume NYUMBA
Umeshauri vyema. Afadhali mimi tayari nimeishalifanyia kazi.Japo nimezunguka nchi nyingi za kiafrica lakini sizungumzii huko Bali nchi yetu Tanzania (japo serikali imesema tutapata tabu saaana[emoji23] )