Wanaume tuoe kwa sababu...

Ngi ngumu kukulelewa mpaka yawatokee ndo akili ikae sawa yetu macho .ponti mkuu
 
false
rekebisha hapa iwe
unatoa dushe+pesa, unapewa papuchi

Ha ha ha yaani mwanaume unatoa vingi ila wewe unapewa vichache. Huo ni unyonyaji

Mwanaume unatoa dushe+mbegu+pesa+ basic needs zote kwa ke ila ke yeye anatoa papuchi tu na kuzaa mtoto wenu wote. Maana hata mtoto anakupa nusu tu na nusu ingine inabaki kwake
 
Sawa kama unadhani ni ununda ila jitathmini vyema kama tabia na mtindo wako wa maisha ni zakiume kweli...?
Endeleeni kudharauliwa , na majasho yenu kuishia sehemu isio na shukrani mkizani kuvumilia huo upuuzi ndio kuwa na akili
 
Wako wenye pesa na wanadharauliwa na wanateseka na mapenzi pia, pesa ni muhimu lakini sio suluhisho ya mambo yote duniani

Hao labda wa pesa za urithi, huwezi mletea dharau mtu aliyetafuta hela yake kwa jasho
 
Sio mwanaume mwenye akili timamu sema hivii.....mwanaume mwenye akili kama za punda na roho ya paka ndio mnao wahitaji
ila sisi wengine tulio pelekwa shule na tukaelewa Nini kinatundishwa mtuache tu
Shule mnafundishwa ndoa ni kupelekeshwa?
 
Uko sahihi, ndoa nzuri ni kuoa mtu ambaye mnafanana naye kila kitu, kuanzia kipato, familia , dini hadi kabila.
Matatizo yasiyo ya msingi, lugha gongana, ukupe na kuviziana huwa vinapungua kwa kiwango kikubwa sana.
 
Sijazaliwa niishi na Mtu... au nipende Mtu mimi.
Wanawake ni watu wa kawaida sana...
Tukiacha kuwaona kama Mama zetu ama dada ama binti zetu bali Watu wa kawaida sana tu basi tutaishi kwa furaha sana.

Ni kosa kubwa kutaka kuishi kwa kufurahisha Mtu... kitu ambacho haiwezekani...

Mwanamme hutakiwi kuishi kujitutumua ili umfurahishe mtu ( ke) ama uone tabasamu kwa Mtu ( ke)

Ikifanya hivyo unafanya dhambi kubwa kwa nafsi yako...

Kumbuka hapa duniani hujaumbiwa mtu bana... so why fight for someone else...

Kila nikitazama Mwanamke nashangaa why mtu anabembeleza Mtu...

Mtu hufa mbali na uzima wake so why kupambana hivyo.... ama basi tujifunze kuwaza hivyo kwamba mtu mbali ya uhai wake amebeba kifo na maradhi ndani yake... na matatizo lukuki...

Mwanadamu mwenzako siyo “ Kitu” cha kuhangaika nacho no matter what...

Tafuta hela,ishi vizuri,subiri kufa... hii ndiyo cycle yetu watu hamna jingine...
 
Shule mnafundishwa ndoa ni kupelekeshwa?
Hayo ya shule tulifundishwa nn achana nayo ......kuanzia Sasa jua mnaanza kuolewa kwa specific task....yaani special mission na misheni ikiisha mnakua aborted .....full stop
 
Broo umeongea vizuri Sana ....yaani ningekua na mamlaka ningeomba jina lako halisi na picha yako viandikwe na kubandikwa kwenye kurasa za mbele za katiba mpya .......natamani wanaume wote tungeishi hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…