Wanaume tuoe kwa sababu...

Ipo hivii wanaume wenzangu leo nataka tujulishane juu ya hili jambo mwiba kwetu. Maana hii taasisi iitwayo ndoa imegeuka na sio kuwa sehemu ya furaha na amani kwetu... imegeuka kuwa sehemu ya majuto makubwa, mauaji, ushirikina na utumwa uliokithiri kwa jina la ndoa.

Wanaume wengi tumejikuta leo hii nyumba tulizozijenga kwa pesa na jasho la uchungu ili tufurahie maisha huku tukinunua vitu vya thamani ili viweze kusaidia kuleta furaha katika hizo nyumba lakini imekua kinyume chake. Zaidi ya maumivu na mitafaruku isio kuwa na maana.

Wanaume tumejikuta tukihangaika kila pande ya dunia kuhakikisha tunapata chochote ili tukale na wale tunaojiongopea tunawapenda kwa furaha lakini mwisho wa siku juhudi zetu zimekuwa miiba kwetu na kuonekana hakuna tunachokifanya yaani just nothing.

Wanaume tubadilike Kama wenzetu jinsia ya pili ilivyoamua kubadilika yaani kuanzia leo tunaoa kwa mission maalumu na haya mambo ya shida na raha tuwaachie babu zetu.

Mifano
......tuoe kwa sababu tunataka watoto ...tuoe kwa sababu Kuna kazi inataka mtu Alieoa.......just marry for a mission.

Tukiweza kuoa kwa mission haya maumivu na mabalaa tunayopitia yataisha na tutageuza kibao kile Cha wanaume wanawahi kufa kuliko wanawake.

Mwanaume tutafute hela kwa ajili yetu na mipango yetu sio kwa ajili ya kuwapa watu wasio na shukrani..... watu wasio weza kukithamini pale usipo kuwa na kitu.

Wanaume yale Mambo ya kuvaa kiatu kimoja miaka Saba na hela za kubadilisha unazo ila umeamua kuvaa kiatu kimoja miaka Saba ili umridhishe mtu kwa kumrundikia viatu Hadi hajui avae kipi huo ni upuuzi na mateso ya kifala.

Wanaume tujipende na tuwapende watoto na baadhi ya watu(ke) watakao thamini michango yetu kwao.

NB
Kuna mbuzi watakuja kusema man down....ila ninacho waambia tu kuwa nilichokiandika hapo ndio ninachokiishi na naishi maisha Safi kabisa na situmikii gereza wa kifungo chochote kile am just living my own life ....no one to judge me....no one to make explanation for what I did ....na ninaishi nikijua watu wanakuja maishani na kuondoka kwa kihiyo kuachwa/kutoswa kwangu ni sherehe sio majonzi Kama ilivyo kwenu ....ni furaha kwa sababu nakua nimepewa fursa ya kujua kwingine kupoje.


Tafuta pesa nyingi .......jipende.......wapende watoto.....wapende baadhi ya ke wanao kupa furaha..... Na usikipoteze.
Ngi ngumu kukulelewa mpaka yawatokee ndo akili ikae sawa yetu macho .ponti mkuu
 
Tuombee ndoa zetu jamani
IMG-20211030-WA0069.jpg
 
false
rekebisha hapa iwe
unatoa dushe+pesa, unapewa papuchi

Ha ha ha yaani mwanaume unatoa vingi ila wewe unapewa vichache. Huo ni unyonyaji

Mwanaume unatoa dushe+mbegu+pesa+ basic needs zote kwa ke ila ke yeye anatoa papuchi tu na kuzaa mtoto wenu wote. Maana hata mtoto anakupa nusu tu na nusu ingine inabaki kwake
 
Sawa kama unadhani ni ununda ila jitathmini vyema kama tabia na mtindo wako wa maisha ni zakiume kweli...?
Endeleeni kudharauliwa , na majasho yenu kuishia sehemu isio na shukrani mkizani kuvumilia huo upuuzi ndio kuwa na akili
 
Wako wenye pesa na wanadharauliwa na wanateseka na mapenzi pia, pesa ni muhimu lakini sio suluhisho ya mambo yote duniani

Hao labda wa pesa za urithi, huwezi mletea dharau mtu aliyetafuta hela yake kwa jasho
 
Sio mwanaume mwenye akili timamu sema hivii.....mwanaume mwenye akili kama za punda na roho ya paka ndio mnao wahitaji ila sisi wengine tulio pelekwa shule na tukaelewa Nini kinatundishwa mtuache tu
Shule mnafundishwa ndoa ni kupelekeshwa?
 
Ndoa ni muhimu ila iwe na win win. Sio upande mmoja unanyonya upande mwingine

Mtoto wa CEO wa CRDB kimei harusi yake ililetwa humu. Nakumbuka alikuwa anamuoa binti wa mwenye sheli za victoria. Hiyo ni mojawapo ya ndoa yenge win win

Ama ndoa ya beckham na victoria enzi zao. Ndoa ina win win ama beyonce na jay z
Uko sahihi, ndoa nzuri ni kuoa mtu ambaye mnafanana naye kila kitu, kuanzia kipato, familia , dini hadi kabila.
Matatizo yasiyo ya msingi, lugha gongana, ukupe na kuviziana huwa vinapungua kwa kiwango kikubwa sana.
 
Sijazaliwa niishi na Mtu... au nipende Mtu mimi.
Wanawake ni watu wa kawaida sana...
Tukiacha kuwaona kama Mama zetu ama dada ama binti zetu bali Watu wa kawaida sana tu basi tutaishi kwa furaha sana.

Ni kosa kubwa kutaka kuishi kwa kufurahisha Mtu... kitu ambacho haiwezekani...

Mwanamme hutakiwi kuishi kujitutumua ili umfurahishe mtu ( ke) ama uone tabasamu kwa Mtu ( ke)

Ikifanya hivyo unafanya dhambi kubwa kwa nafsi yako...

Kumbuka hapa duniani hujaumbiwa mtu bana... so why fight for someone else...

Kila nikitazama Mwanamke nashangaa why mtu anabembeleza Mtu...

Mtu hufa mbali na uzima wake so why kupambana hivyo.... ama basi tujifunze kuwaza hivyo kwamba mtu mbali ya uhai wake amebeba kifo na maradhi ndani yake... na matatizo lukuki...

Mwanadamu mwenzako siyo “ Kitu” cha kuhangaika nacho no matter what...

Tafuta hela,ishi vizuri,subiri kufa... hii ndiyo cycle yetu watu hamna jingine...
 
Shule mnafundishwa ndoa ni kupelekeshwa?
Hayo ya shule tulifundishwa nn achana nayo ......kuanzia Sasa jua mnaanza kuolewa kwa specific task....yaani special mission na misheni ikiisha mnakua aborted .....full stop
 
Sijazaliwa niishi na Mtu... au nipende Mtu mimi.
Wanawake ni watu wa kawaida sana...
Tukiacha kuwaona kama Mama zetu ama dada ama binti zetu bali Watu wa kawaida sana tu basi tutaishi kwa furaha sana.

Ni kosa kubwa kutaka kuishi kwa kufurahisha Mtu... kitu ambacho haiwezekani...

Mwanamme hutakiwi kuishi kujitutumua ili umfurahishe mtu ( ke) ama uone tabasamu kwa Mtu ( ke)

Ikifanya hivyo unafanya dhambi kubwa kwa nafsi yako...

Kumbuka hapa duniani hujaumbiwa mtu bana... so why fight for someone else...

Kila nikitazama Mwanamke nashangaa why mtu anabembeleza Mtu...

Mtu hufa mbali na uzima wake so why kupambana hivyo.... ama basi tujifunze kuwaza hivyo kwamba mtu mbali ya uhai wake amebeba kifo na maradhi ndani yake... na matatizo lukuki...

Mwanadamu mwenzako siyo “ Kitu” cha kuhangaika nacho no matter what...

Tafuta hela,ishi vizuri,subiri kufa... hii ndiyo cycle yetu watu hamna jingine...
Broo umeongea vizuri Sana ....yaani ningekua na mamlaka ningeomba jina lako halisi na picha yako viandikwe na kubandikwa kwenye kurasa za mbele za katiba mpya .......natamani wanaume wote tungeishi hivi
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom