Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 9,368
- 25,825
Ni kweli kabisa hakuna anayejua kila kituoyaa acha dharau we unajua kila kitu sio? hata hivi me si mzuri kwenye hii lugha ya kiswahili.. nipo vzuri kwenye ingleshi
Hata mie sijui kila kitu.
Ni kweli kabisa hakuna anayejua kila kituoyaa acha dharau we unajua kila kitu sio? hata hivi me si mzuri kwenye hii lugha ya kiswahili.. nipo vzuri kwenye ingleshi
AigooYaan baada ya kusoma tuu huu uzii nimeona nitafute comment yako kwanza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaumwa wewe...jisemee wewe wengine tukipata pesa cha kwanza ni
Pombee...nikishiba hizo sasa ndio wanafuata hao
View attachment 1645041
sawa mkuu
sawa piere likwidi[emoji23][emoji23]nikiwa sina hela nkataka demu nasema ngoja nitafute hela kwanza.. ila nikipata hela simkumbuki demu, namkumbuka rafiki yangu gambe!..
napenda pombe kuliko hata hii jinsia KE!