Wanaume tunapenda kula chakula mlichopika

Wanaume tunapenda kula chakula mlichopika

Mkuu sisi wengine ni wastaarabu mno jamani, ukipika tunakupa sifa kemkem na hatuthubutu kabisa kukuambia Leo pika....

Kumpangia mume zamu ya kupika ni dhambi isiyovumilika na ni jeuri inayoua vibaya.
Wanawake ukishamsaidia kitu anaona kama ndio wajibu wako.
Mtajifanya kutusifia ili tuwe tunapika mara kwa mara.

Na mnavyopenda kusifiwa, hamkawii kumwambia mume akapike chakula ili wenzako waone kuwa huwa unapikiwa
 
Hawa watoto tunaowakuza kila kitu wanafanyiwa na house girls mpaka wanafika chuo madhara yake yanakuwaga hivi.

Wengi wao kupika hawajui hata kufua.
Wanachojua ni kukaa kwenye TV na kuangalia tamthiliya za kifilipino.
Sasa kama the only thing you can offer me is sex si hata makahaba wanaweza kunipa?
Ni lazima nichepuke tu. Tena usiombe nikakutana na mwanamke anayejua kubembeleza, utaishia kutukana tu barabarani.

Dada zetu inatakiwa wajifunze, ndoa sio jukwaa la kufanyia fantasies na kutafuta usawa.

Na African men are always Africans.
 
Napenda sana kumsaidia mamaa sema akili za mwanamke ukianza hivyo next week utakutana na nguo ufue wacha weekend nishinde baa tu na Serengeti baridii
 
Huo muda wa kukupikia we umekaa sina, bora nibet
 
Mhehe wangu kwanza Nguo anafua mwenyewe.... ! Alafu jioni ya Leo alienda kunyoa salon akakutana na mkalifya, kesho ataupika mwenyewe....! Love to be her Mrs.
Nadhani we ndio mume, yeye ni mke
 
Baba anafanya kazi Jumatatu mpaka Ijumaa, anarudi jioni amechoka mama anamuandalia chakula kama si mama dada wa kazi.

Jumamosi kuna shughuli nyingi sana za kufanya nyumbani, lakini baba anaacha pesa mjijue, anategemea mama asafishe nyumba, amfulie nguo zake pamoja na za watoto na mashuka bila kusahau mataulo.

Mama aende sokoni akafanye shopping ya wiki, apike na kumuwekea baba chakula. Jumapili pia.

Kama unaweza kumsaidia mke wako kusafisha nyumba kabla hujatoka na mfanye wote shopping. Jumapili baba akipika chakula cha familia that is romantic. Tunapenda kubembelezwa


Ubembelezwe kisha na wewe ukabembeleze mwanamme wa mtu huko nje? Toka zako hapa, sina muda huo.
 
halafu hela natafuta saa ngapi..???mara mia nikose hayo mahaba ya kukupikieni kuliko kukosa hela ya kufanya pakapikika...
 
Wanawake ukishamsaidia kitu anaona kama ndio wajibu wako.
Mtajifanya kutusifia ili tuwe tunapika mara kwa mara.

Na mnavyopenda kusifiwa, hamkawii kumwambia mume akapike chakula ili wenzako waone kuwa huwa unapikiwa
Anakupangia zamu kabisa
 
Mhehe wangu kwanza Nguo anafua mwenyewe.... ! Alafu jioni ya Leo alienda kunyoa salon akakutana na mkalifya, kesho ataupika mwenyewe....! Love to be her Mrs.
You love to be HIS Mrs(wife), rather!! Statement yako imefanya watu wafikirie wewe ndio mumewe jamaa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom