Wanaume tunapenda kula chakula mlichopika

Mhehe wangu kwanza Nguo anafua mwenyewe.... ! Alafu jioni ya Leo alienda kunyoa salon akakutana na mkalifya, kesho ataupika mwenyewe....! Love to be her Mrs.
Ha ha ha kumbe wifi weye
 
Baba anafanya kazi Jumatatu mpaka Ijumaa, anarudi jioni amechoka mama anamuandalia chakula kama si mama dada wa kazi.

Jumamosi kuna shughuli nyingi sana za kufanya nyumbani, lakini baba anaacha pesa mjijue, anategemea mama asafishe nyumba, amfulie nguo zake pamoja na za watoto na mashuka bila kusahau mataulo.

Mama aende sokoni akafanye shopping ya wiki, apike na kumuwekea baba chakula. Jumapili pia.

Kama unaweza kumsaidia mke wako kusafisha nyumba kabla hujatoka na mfanye wote shopping. Jumapili baba akipika chakula cha familia that is romantic. Tunapenda kubembelezwa

Taratibu naanza sasa kuona jinsi Mwanamke nitakayekuja Kumuoa atakavyopata tabu / henya henya mpaka atanikoma!
 
Ujinga huu.
Hata kama najua kupika infact hata mke wangu hilo analitambua lakini siwezi kukaa jikoni kupika eti namsaidia.
Unless tuko wawili na yeye anaumwa.
Hamuachagi kutupangia zamu kwa akili zenu zilivyo.
Nikiwa mdogo nilifundishwa kupika lakini mama alinionya kuwa ananifundisha ili niweze kusurvive na sio kupangiwa kupika na mke yupo.

Nguo nikiamua huwa nafua mpaka chupi zake lakini asinipangie kuwa leo zamu yako kufua.

Kupika!!
Hii nidhambi kwa mwanaume aliyelipa mahari!!
 
Mkuu sisi wengine ni wastaarabu mno jamani, ukipika tunakupa sifa kemkem na hatuthubutu kabisa kukuambia Leo pika....

Kumpangia mume zamu ya kupika ni dhambi isiyovumilika na ni jeuri inayoua vibaya.
 
Baba anafanya kazi Jumatatu mpaka Ijumaa, anarudi jioni amechoka mama anamuandalia chakula kama si mama dada wa kazi.

Jumamosi kuna shughuli nyingi sana za kufanya nyumbani, lakini baba anaacha pesa mjijue, anategemea mama asafishe nyumba, amfulie nguo zake pamoja na za watoto na mashuka bila kusahau mataulo.

Mama aende sokoni akafanye shopping ya wiki, apike na kumuwekea baba chakula. Jumapili pia.

Kama unaweza kumsaidia mke wako kusafisha nyumba kabla hujatoka na mfanye wote shopping. Jumapili baba akipika chakula cha familia that is romantic. Tunapenda kubembelezwa

Nafanya yote hayo na bado dada ndo anapika, wanawake mna jema basi?
 
Tatizo nyinyi hamueleweki, mmekaa kinafiki tu, mwanaume akisema akusaidie kazi za jikoni ndo unataka kumpa liwe jukumu lake siku asipokusaidia eti unamnunia mmeo, acheni unafiki, nyie hao hao hamchelewi kusemana mama fulani kamtawala mme wake hadi anapika mara limbwata, sijui mfanyiwe nini nyie.
 
Baba anafanya kazi Jumatatu mpaka Ijumaa, anarudi jioni amechoka mama anamuandalia chakula kama si mama dada wa kazi.

Jumamosi kuna shughuli nyingi sana za kufanya nyumbani, lakini baba anaacha pesa mjijue, anategemea mama asafishe nyumba, amfulie nguo zake pamoja na za watoto na mashuka bila kusahau mataulo.

Mama aende sokoni akafanye shopping ya wiki, apike na kumuwekea baba chakula. Jumapili pia.

Kama unaweza kumsaidia mke wako kusafisha nyumba kabla hujatoka na mfanye wote shopping. Jumapili baba akipika chakula cha familia that is romantic. Tunapenda kubembelezwa
Nimeskia, namimi pia naamini inapendeza kusaidiana kazi mume + mke.
 
Baba anafanya kazi Jumatatu mpaka Ijumaa, anarudi jioni amechoka mama anamuandalia chakula kama si mama dada wa kazi.

Jumamosi kuna shughuli nyingi sana za kufanya nyumbani, lakini baba anaacha pesa mjijue, anategemea mama asafishe nyumba, amfulie nguo zake pamoja na za watoto na mashuka bila kusahau mataulo.

Mama aende sokoni akafanye shopping ya wiki, apike na kumuwekea baba chakula. Jumapili pia.

Kama unaweza kumsaidia mke wako kusafisha nyumba kabla hujatoka na mfanye wote shopping. Jumapili baba akipika chakula cha familia that is romantic. Tunapenda kubembelezwa

Umeolewa?
 
Eeh acheni uvivu, timizeni majukumu yenu, mbona yetu hamtusaidii??!!
 
Yaani mpaka watoto wanakua hawajawahi kula chakula alichopika baba!
Hizi mambo ni kabila na kabila, Sisi hii kwetu ni strictly prohibited, since childhood mnaaminishwa jikoni ni pa ke only, hata kupita pita jikoni mwanaume marufuku, ndo nini uje ukute mama yako au dada yako kakaa vibaya
 
Ujinga huu.
Hata kama najua kupika infact hata mke wangu hilo analitambua lakini siwezi kukaa jikoni kupika eti namsaidia.
Unless tuko wawili na yeye anaumwa.
Hamuachagi kutupangia zamu kwa akili zenu zilivyo.
Nikiwa mdogo nilifundishwa kupika lakini mama alinionya kuwa ananifundisha ili niweze kusurvive na sio kupangiwa kupika na mke yupo.

Nguo nikiamua huwa nafua mpaka chupi zake lakini asinipangie kuwa leo zamu yako kufua.

Kupika!!
Hii nidhambi kwa mwanaume aliyelipa mahari!!
Mh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom